Follow Me If You Can!

Follow Me If You Can!

Ni ujinga eti kuuliza eti national anthem ya Jamaika eti ipo kwa rythm gani..
 
Ni ujinga kusema eti AIDS now means "Arsenal Is Dying Slowly"
Ni ujinga kuwaambia watu wapunguze sauti coz unasoma sms
 
Ni ujinga kumwambia mgonjwa ugua pole; kwani hutaki apone?! Yaani aendelee kuugua tu?! Arrrghhh!!
 
Ni ujinga kureply b'day wish kwa kusema "and you too"
 
Hahahah..The Priest
Kumbe hii kitu ni ya wakenya?
Nilifikiri jamaa kaja na bonge ya Idea..kumbe mambo ya facebook!!!
Ni ujinga kuamini kwamba kila joke inayokuja hapa mtunzi ni mwandishi wa thread husika.
 
Hahahah..The Priest
Kumbe hii kitu ni ya wakenya?
Nilifikiri jamaa kaja na bonge ya Idea..kumbe mambo ya facebook!!!
Rejao ndio hivyo afu adm wa hiyo page akaanzisha post eti"watanzania nao wameiga ujinga wa wakenya" kumbe jamaa nao wanaingia humu Jf..hahahah
 
There is this popular saying in soccer,"The English invented it,the Brazilians perfected it",who is superior?is it the one who invented it or the one who perfected it?
 
There is this popular saying in soccer,"The English invented it,the Brazilians perfected it",who is superior?is it the one who invented it or the one who perfected it?

The inventor is superior one as without the invention there wouldn't be perfection of any sort.....
Ila ni ujinga kubishana juu ya nani kaanzisha ujinga...hahahaha!!
 
The inventor is superior one as without the invention there wouldn't be perfection of any sort.....
Ila ni ujinga kubishana juu ya nani kaanzisha ujinga...hahahaha!!
Nimekusoma mkuu,but what matters is not how you start but how you finish!so i'm on the side of who perfected it!
 
There is this popular saying in soccer,"The English invented it,the Brazilians perfected it",who is superior?is it the one who invented it or the one who perfected it?
the one who perfected it...by the way hata hizi zote bado ni ujinga kubadili maana ya thread iliyokuwa mwanzo,turudi kwenye ujinga zingine.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ni ujinga kufanya mapenzi kwa kutumia kondom huku unanyonyana ndimi bila kinga ya midomo.
 
Back
Top Bottom