Asanate FMES kwa kijibu hoja yangu ya hao waimbaji akina mama. Tuliwasahau mwanzoni kuwataja ingawaje wengi ni wa siku nyingi kama Abeti Masikini na Dark City Sisters.
Nashukuru pia Bitimkongwe kwa kutuletea Siti Bint Saad. Nshukuru sana.
Sasa Kama tukipata picha ya muimbaji mashuhuri wa nyimbo za siasa miaka ya sitini akiitwa Makongoro itakuwa vizuri.
Tusimsahau Shakira. Tusisahau pia Mitonga Jazz ya Lindi sijui wako wapi hawa walivuma sana miaka ya kati ya themanini na kibo chao Mariana N'jangu ( Mariana my wife) uliimbwa kwa kimaraba ( a version of Kimakonde spoken in urban areas)