Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaongea kama wa jina wako lol! haya bana.

Mayweather analambishwa sakafu kama mtoto mdogo leo.. Labda afanye ile michezo yake ya kukimbia kimbia ulingoni round nzima na kurusha ngumi mbili tu kwa round
 
lol! hahahahahah usingizi umeruka kisha nataka kuona jinsi Money Mayweather anavyouthibitishia Ulimwengu wa wapenda masumbwi kwamba hakuna tena kama yeye na hivyo kufikia rekodi ya 48-0.

Weye ni aje? usingizi umekuruka pia? lol!

Yaani usingizi wote umekataaa nataka kushuhudia Money Boy leoo..
nimekumiss ujue...
 
Hahaha. Yaani mie mayweather all the way. Kama namuona atakavyotamba na hiyo sijui ndio wish meal from best chef?

All the best of the bestest team mate.
Yeah! only few hours to go before Money Mayweather whoop his ass. Naona leo unakesha, nilijua ni mpenzi wa masumbwi ila sikujua kama ni kiasi hiki.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani usingizi wote umekataaa nataka kushuhudia Money Boy leoo..
nimekumiss ujue...

Huna tofauti namm yan hapa kiroho kinadunda utasema napigana mm yaan muda wote naangalia saa kitandan naisi pana washa tu
 
Mpwa usije kufuatwa hapo sitting room na kuulizwa "unachat na nani saa hizi usiku wa manane?" lol! sijui kama una access na hawa wandugu mpwa, DStv.

Mpwa natafutwa kitandani nimekimbia niko hapa sitting. Sijajua kama kuna chanel gani itaonyesha. Niliambiwa KTN lakini hamna kitu natumia Zuku aaghhh
 
Mpwa usije kufuatwa hapo sitting room na kuulizwa "unachat na nani saa hizi usiku wa manane?" lol! sikui kama una access na hawa wandugu mpwa, DStv.

Hahahaaaaa ngoja nikalale kesi sitaki hahaahahaaa maana nilivyoishika simu akitokea hapa! Hahahahaa thanks Mpwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
All the best to you too Best...Timu paki yao wamenuna lol!

Hahaha. Yaani mie mayweather all the way. Kama namuona atakavyotamba na hiyo sijui ndio wish meal from best chef?

All the best of the bestest team mate.
 
hahahahahahahaha lol! umeona mpwa eeh! 🙂🙂

Hahahaaaaa ngoja nikalale kesi sitaki hahaahahaaa maana nilivyoishika simu akitokea hapa! Hahahahaa thanks Mpwa
 
Cheko ya kiasenali sasa tutaanza kucharge kwa watumiaji ambao si wa kambi yetu lol!

Nitacheka sana kiasenali leo after hili pambano... Msikimbie hapa!!
 
Hii game inasubiriwa kwa hamu kama final ya World Cup vile...

Isije ikatokea tu kama ile mambo ya Tyson, ukichelewa kuwasha TV tu unakuta kidume ashamkalisha mtu zamani...
 
Mkuu wewe unaamini nini kwani? In fact if Pacman loses it should strengthen ur faith!

Manny believes in God(according to him), + ana nchi nzima nyuma yake inamuombea mazuri kwenye hili pambano. Kwa upande wa Money, ye anaabudu money, period.
 
Mie unanijua MVP huwa sikimbii ila nitakuwa na huzuni sana, lakini Money hawezi kutuangusha #TeamMoneyMayWeather atamtia adabu mtu za kutosha mpaka aamue kubwanga manyanga for good.

Nitacheka sana kiasenali leo after hili pambano... Msikimbie hapa!!
 
Hii ikitokea ya pambano kwisha in 2 minutes tutadai pesa zetu aisee.

Hii game inasubiriwa kwa hamu kama final ya World Cup vile...

Isije ikatokea tu kama ile mambo ya Tyson, ukichelewa kuwasha TV tu unakuta kidume ashamkalisha mtu zamani...
 
Baada ya Kumkimbia kwa Takribani miaka 5 sasa May weather amejisalimisha kwa Manny Pac
 
Cheko ya kiasenali sasa tutaanza kucharge kwa watumiaji ambao si wa kambi yetu lol!

Mie unanijua MVP huwa sikimbii ila nitakuwa na huzuni sana, lakini Money hawezi kutuangusha #TeamMoneyMayWeather atamtia adabu mtu za kutosha mpaka aamue kubwanga manyanga for good.

Khe khe khe khe tutalilipia tu..

Angalia Money kashaweka kisingizio kwamba hili pambano lake la mwisho.. Anawakimbia akina Khan baada ya kuchapwa leo
 
Hahahahahaha lol! mtasema sana kwa maamuzi yake yoyote yale, huyu Khan hana pumzi ya kusimama na Money. Anaweza kumpa pambano lake la 49 huyo Khan ili naye amfanye vibaya.

Khe khe khe khe tutalilipia tu..

Angalia Money kashaweka kisingizio kwamba hili pambano lake la mwisho.. Anawakimbia akina Khan baada ya kuchapwa leo
 
Back
Top Bottom