Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Kwa yeyote anayejua jinsi point zinavyokuwa scored huyu jamaa ni mshindi halali kabisa .
 
Ngumi zilikuwa zamani bwana,enzi za kina Tyson,Evander na Lewis....hawa mabishoo hamna kitu,bora nililala.
 
Hata wale majudge walikabana kwenye point wale ndio wezi kabisa wajinga wale. Sijalala leo nikijua kuna la maana kumbe ni ushuzi tupu. Kenge hawa
 
fight-4_3289874k.jpg
 
bora hata nimepata kilakimbili changu cha kupozea machungu! hili pambano lilikuwa low sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom