Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

money.jpg
 
Eti mpambano huu ni MEGGA FIGHT OF THIS GENERATION.
Upuuzi mtupu.
 
Yaani hawa Be In Sports wamenifanya vibaya leo kwa kugoma kurusha ili pambano. Inabidi niwe mtumwa wa hii thread ili kujua kinachoendelea. Too bad.

Tiba

Pole Tiba umeshindwa kugonga ata kwa jirani yako mimi hapa.
 
Back
Top Bottom