Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd alikuwa anaruka ruka tu na kukimbia.....ushindi gani huo sasa?

Bure kabisa.

Tumeliwa hela zetu yarabi!

Wameamua tu kumpa huyu May, angepoteza wengi wangeliwa huko US, watu waliweka nyumba zao.
Hata sioni kama ni fight la century.
 
fight-wife_3289882k.jpg


Jinkee Pacquiao Manny's spouse
 
Hatimaye loyd Money Mayweather beats Manny
Pacquiao and maintain his record. Source CNN
 
Wameamua tu kumpa huyu May, angepoteza wengi wangeliwa huko US, watu waliweka nyumba zao.
Hata sioni kama ni fight la century.

Fight of the century? Not remotely close.

Hyped fight of the century? You bet!

All hype and no action.

Hakuna hata aliyeharibika uso.

Fiksi tupu.
 
huyu mywether amelazimisha ushindi kwa kuanza kusema ameshinda kabla hata ya majaji kutoa matokeo huuu ni ujinga wanaaribu mchezo bwana
 
Njemba imeliwa $250K na P Diddy

fight-wahlberg_3289873k.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom