Washindi hapo ni Floyd na Manny...ambao wanalipwa mahela mengi tu leo.
Losers ni sisi.
I wasted my $100.00
May kashinda? Hakuna bwana, nakataaa
Hata huyo Manny bure kabisa!.I thought it was supposed to be the fight of the century! That was pathetic! May alikuwa anakimbia tu ulingoni round zote 12 kama nilivyosema kabla ya game halijaanza.. Alafu anajifananisha na Mohamed Ali..
siangalii tena hizi, ngumi bora footbal, ameshinda vipi wakati mywheather ndio aliokua akishambuliwa
Dah! huyu B naye! Ziwa lote kaliacha wazi
Niko macho tangu saa tisa halafu hawa washenzi wanaleta ujinga
Hata huyo Manny bure kabisa!.
I thought it was supposed to be the fight of the century! That was pathetic! May alikuwa anakimbia tu ulingoni round zote 12 kama nilivyosema kabla ya game halijaanza.. Alafu anajifananisha na Mohamed Ali..