Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Kwenye kingamuzi cha startime wamelinunua hlo pambano wenye vingamuz vya startime enjoy life
 
Teh teh teh...poleni wala vumbi....na kuna kila dalili ya pambano kuchelewa kwa sababu ya jam ya PPV buys.

We niache tu...! Jana nimekimbia kwa demu wangu usiku saa sita kisa nikaone pambano saa tisa! Wenda ata nimetoa nafasi kwa mchepuko roho inauma sana. Mpaka muda eti bado..
 
Nyani babu acha dharau mkuu.Kuuliza sio ujinga.Acha ulimbukeni ----- wewe

Huyu atakuwa mla vumbi tu teh teh teh....

Na mlivyokesha leo usikute mmeng'atwa na mbu hadi mmetia akili.

Kapimwe malaria kesho:becky:.
 
We niache tu...! Jana nimekimbia kwa demu wangu usiku saa sita kisa nikaone pambano saa tisa! Wenda ata nimetoa nafasi kwa mchepuko roho inauma sana. Mpaka muda eti bado..

Ha ha ha haaah. Pole, mchepuko atakuwa kafaidi sana tu.
 
Mkuu mie nimeandika kwenye uzi huu kwamba pambano ni 7:00am EAT ila kama lingewahi kuanza basi ingekuwa 6:30am EAT.

We niache tu...! Jana nimekimbia kwa demu wangu usiku saa sita kisa nikaone pambano saa tisa! Wenda ata nimetoa nafasi kwa mchepuko roho inauma sana. Mpaka muda eti bado..
 
Hizi nyimbo za taifa zinavoimbwa....!
 
Back
Top Bottom