Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,791
- 40,574
Watangazaji wanambwembwe utafikiri wanakula viroba vya zambia
wanamzidi kibonde kwenye mapambano ya kina oswad maneno mtambo wa gongo!?
Watangazaji wanambwembwe utafikiri wanakula viroba vya zambia
haiwezi kuwa Part Payment Voucher!!Nyani Ngabu pleaseMatatizo ya PPV ni nini wakuu?
nani kapigwa? Wengine tupo safarini!
Huyo mla vumbi ana ubavu wa kwenda Sin City kujivinjari ndani ya MGM Grand and Casino na ku hang na akina Tom Brady?
Don't think sooooooooooooo
Hahahaaa....kwani we uko wapi? Mavumbini?
Matatizo ya PPV ni nini wakuu?
nani kapigwa? Wengine tupo safarini!
mkuu ungechanganya na zako usingelaumu mtu
May the best fighter win
Pac man for knock out
Jamani matokeo ya YANGA please!
hata mi sijui mkuu
ndo nini?
Kama nimemuona wema sepetu hapo? Ama nimemfananisha?
Hehehe. kui njoo
We niache tu...! Jana nimekimbia kwa demu wangu usiku saa sita kisa nikaone pambano saa tisa! Wenda ata nimetoa nafasi kwa mchepuko roho inauma sana. Mpaka muda eti bado..