Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Oya Acheni Masihara Tupeni Updates.Round Ya Ngapi?
Pambano bado ndio maana watu wanapiga porojo mkuu
Oya Acheni Masihara Tupeni Updates.Round Ya Ngapi?
Tunaombeni Mtupe Updated Ya Kinachoendelea Uko.Wengine Tupo Vitandani
Yaani ameimba kihuni tu huyu.Jammie fox ooops
Wateja wamekuwa wengi mno mitambo imegoma, hivyo wanajaribu kurekebisha ili kila aliyelipa $100 afaidi pesa yake.
Dah! Pole sana ndugu drip ya ngapi wamekuwekea? Na ukijiangalia unaendeleaje? Kwanza unaumwa nini?
umepiga box ngapi kufikisha hela ya kuingia angalau kwenye kumbi ya tvHuyu atakuwa mla vumbi tu teh teh teh....
Na mlivyokesha leo usikute mmeng'atwa na mbu hadi mmetia akili.
Kapimwe malaria kesho:becky:.
mungu amesaidia nimeenda chanell one nimepata mpambano toka saa10 love it...........!