Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,182
- 138,478
haaah haaah sijui kama kuna sekta bongo haina ujanja-ujanja,ivi mkuu huyu Msangi alitoa vizingizio ganiHa ha ha ha tayari kashacheza utangulizi.
haaah haaah sijui kama kuna sekta bongo haina ujanja-ujanja,ivi mkuu huyu Msangi alitoa vizingizio ganiHa ha ha ha tayari kashacheza utangulizi.
Baada ya Kumkimbia kwa Takribani miaka 5 sasa May weather amejisalimisha kwa Manny Pac
Bado mapambano ya utangulizi yanaendelea.
Jose Cayetano Vs Leo Santa Cruz.
Aliishia kupigwa kiswahili tu na promota wake...
bora hajaenda atatapika kisamvu.
Asante umetupunguzia muda wanaokuja nao wamalize kwa KO aje Floyd nae apigwe KO mchezo kwisha hongeren wabishi wenzangu mliopo macho hadi muda huu
haaah haaah sijui kama kuna sekta bongo haina ujanja-ujanja,ivi mkuu huyu Msangi alitoa vizingizio gani
Mpambano bado tu shemeji yenu ananisumbua asubuhi hii
Santa cruz yupo vizur!anamuonea mshikaji
yani ndondi ni maigizo,yale manundu kumbe yanatokana na uigizaji?Onesha huo uongo wewe unayejua ukweli...
Let's wait and see, you know time is the best judge.
Ubishi utaisha mechi ikiisha mshindi atakapopatikana tu.
yani ndondi ni maigizo,yale manundu kumbe yanatokana na uigizaji?
jaman mm nipo kzn napiga overtime, vp huko limeanza?? alafu unajua mshindi wa leo anakutana na "lenox lewis"?