Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,218
- 138,643
angekuwa Matumla hapa tungekuwa tunajadili mengine.ule ulikuwa utapeli mkuu.ishu ilikuwa CCMulizedMkuu nilichelewa kuamka so sikuweza kuangalia mapambano yote ya utangulizi.
angekuwa Matumla hapa tungekuwa tunajadili mengine.ule ulikuwa utapeli mkuu.ishu ilikuwa CCMulizedMkuu nilichelewa kuamka so sikuweza kuangalia mapambano yote ya utangulizi.
Kupata link ya uhakika kuangalia online ni kazi kwakweri....watu wamelipa pesa mingi kupata haki za kuonyesha , hawawezi kuwaachia muone bure online! Naskia HBO na Showtime wamefungua mashtaka kwa baadhi ya watu wanaoonehsa online.....hapa kama huna DStv kama.mie bora kulala tu 🚶🚶🚶😒😒
angekuwa Matumla hapa tungekuwa tunajadili mengine.ule ulikuwa utapeli mkuu
Mpambano bado tu shemeji yenu ananisumbua asubuhi hii
azam tv wanaonyesha?
Sasa ivi ni mechi za utangulizi, main event bado.
kama wanaonesha au hawaoneshi utafanyaje?
mkuu tutakutoa humu sasa ivi,acha usela mavikama anasumbua mfir.eeee atatulia.
#team pac#
Umeamini kwamba Pambano La TMT vs PAC sio saa 10 Alfajiri?
Tupeni matokeo jamani nani kala kichapo?
The winner iiiiiizzz,mannnnnnny paaaaacquiaooooooooo!!!!!
mkuu tutakutoa humu sasa ivi