Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,888
- 7,079
Wakuu nina king'amuzi cha Star times naweza kuona pambano la Man Pac na Money W? Nisaidien niandae kabisa
supersport 2&6 pekee Africa nzima ndo wataonyesha
Wakuu nina king'amuzi cha Star times naweza kuona pambano la Man Pac na Money W? Nisaidien niandae kabisa
Au pambano lenyewe liishie round ya pili!.
Jana ulicheki weigh-ins?
Yaani ukumbi ulikuwa umejaa hadi pomoni kisa tu kuwaangalia hao jamaa wakipimwa uzito.
Hahahahaaaa daaah.
Hapo nitadai nirudishiwe dola zangu mia lol! 🙂🙂...Hata hujakaa vizuri kwenye coach mara pambano limeisha lol!
I enjoy my life and i never categorize as it being anything. I also watch top gear and follow up car racings and football. I dont blame the poor gal kwa kunishangaa hahaha.
Cc Kongosho (usiseme naangalia cartoon pia)
Zimekuwa enzi za tyson, anadunda mtu wakayi wenye ticket mlangoni hawajaingia bado. Lol.
Bora nigeria wameshapata matokeo ya mpambano, cd ziko kitaa tayari
Hapo nitadai nirudishiwe dola zangu mia lol! 🙂🙂...Hata hujakaa vizuri kwenye coach mara pambano limeisha lol!
Likienda kwa pointi Mayweather atashinda
Zimekuwa enzi za tyson, anadunda mtu wakayi wenye ticket mlangoni hawajaingia bado. Lol.
Bora nigeria wameshapata matokeo ya mpambano, cd ziko kitaa tayari
Zimekuwa enzi za tyson, anadunda mtu wakayi wenye ticket mlangoni hawajaingia bado. Lol.
Bora nigeria wameshapata matokeo ya mpambano, cd ziko kitaa tayari
The two of you will make 'a fabulous threesome' with me :biggrin:
Mayweather "....now I am older and wiser and I'm just blessed and dangerous'. Naona wengi wamewekeza hela zao kwake ..
Likienda kwa pointi Mayweather atashinda
meiwizard atapigwa kwa means yoyote ile