KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
wenzako tutalala bar leo
Pole sana na suluba ya mbuu!
wenzako tutalala bar leo
Pole sana na suluba ya mbuu!
PACMAN anakuja kuuvunja rasmi utawala wa MAYWEATHER JR katika ngumi za uzani wa welterweightSawa sawa tupo pamoja, Money May amekua akimgwaya mshakaji tokea 2009
Kwani ni saa ngapi mkuu
Hawa ni wepesi mno! Uzito wa Mayweather ni kilo 66.4 (paundi 146), na uzito wa Mfilipino ni kilo 65.9 (paundi 145). Ngumi za wavulana hawa ni kama kumkuna tu Tyson!
Ila ndo the most expensive fight kutokea dunian. hao akina Tyson wako wa miaka ya 90 hawajawai fikia hizo Dau
Hahahahahaha lol! Zero facts the writer is just stating his/her opinion and NN has presented zillion facts to support his argument. What about this one? Still there are no facts Obama is just stating his opinion!! LoL! Color blind society is still a long way to go my friend.
Enjoy your weekend NN.
Obama: Theres No Doubt That Some People Really Dislike Me Because Im Black."
Kura yangu iko kwa Pacman, i always admire the guy, ptovided he's a Southpaw, itakua ngumu sana kwa Money kumpiga. Money pia yuko vzr sana, hamna haja ya kumuelezea sana coz historia yake imeshathibitisha hilo. Ujinga itakua ni kumchukia Money kwa sababu ya show-off zake. Anapata hela kwa jasho lake, anastahili kuitumia vile anataka.
Hawa DirecTV nao wanatukamua $ 99 kwenye pay per view yao!.
Wewe ni mweusi?
Kama wewe ni mweusi kwa nini humuungi mkono mweusi mwenzako?
hakuna Habari ya Weusi Wala Kijani. Say No to Rascism
Hawa DirecTV nao wanatukamua $ 99 kwenye pay per view yao!.
Ni kweli ila sababu hasa ni ujanja wa waandaaji ambao wamefanikiwa kuihadaa dunia iamini kuwa Hilo ni pambano la karne! Pamoja na ubora wa mabondia hawa, lakini si kwa kiwango cha kipekee ambacho haijawahi kutokea. Nimefuatilia mapambano yao wote wawili, hayawezi kabisa kufananishwa na mapambano yaliyawahusisha mabondia kama Tyson, Mohamed Ali, Joe Frezier, Evander Hollyfield, Lewis nk kwa ufundi, msisimko, nk. Ingia you tube ucheki mapambano ya wababe hao, halafu tazama pia mapambano ya hawa wavulana wa welterweight utaelewa hiki ninachokisema. Sema wakati wa zamani social media hazikuwepo nyingi, na chache zilizokuwepo hazikuwa accessible kwa walio wengi, Hivyo promotion ilikuwa ni ngumu. Wajanja wamelazimisha kupiga pesa ya nguvu kupitia pambano hili! Inakadiriwa waandaaji wataingiza dola $ 500,000,000 kupitia pambano hili ambapo ukitoa gharama zote ikiwa ni pamoja na malipo ya mabondia bado watabaki na pesa ya kufa mtu!
Halafu sasa pambano lenyewe lije kuboa.
Kuna uwezekano kabisa kuwa pre-fight hype ikawa more entertaining than the fight itself.
Hapo ndo utajua nguvu ya marketing.