Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 196
Jaman mpambano saa ngapi kwa saa za bongo.
Saa TISA kamili usiku huu unaokuja., kwa saa za Tz.
Jaman mpambano saa ngapi kwa saa za bongo.
hivi uzito wa ngumi ya kina Tyson unatofautiana na hii au wote sawa,maana ukiangalia ngumi za kina tyson ni hatari mno
Hawa ni wepesi mno! Uzito wa Mayweather ni kilo 66.4 (paundi 146), na uzito wa Mfilipino ni kilo 65.9 (paundi 145). Ngumi za wavulana hawa ni kama kumkuna tu Tyson!
Yah mkuu maana zile za Tyson ni ngumi jiwe
Saa TISA kamili usiku huu unaokuja., kwa saa za Tz.
Sema uko team gan, na kiwango ulichonacho.
Tysonhivi uzito wa ngumi ya kina Tyson unatofautiana na hii au wote sawa,maana ukiangalia ngumi za kina tyson ni hatari mno
sku hizi hatuongei kwa maneno, tuweke pesa mezani?
Saa TISA kamili usiku huu unaokuja., kwa saa za Tz.
Nikiwatazama kiufundi.....namtazama MAYWEATHER JR kama bondia mwenye defence skills za hali ya juu sana...huku akiwa ni mwepesi wa kurusha hook na jab za haraka sana....ni bondia anayecheza mtindo unaomfanya autawale ulingo huku akimlazimisha mpinzani amfuate aliko.....ni bondia ambaye ana shabaha ya hali ya juu sana....inakadiriwa kuwa katika kila ngumi tano anazorusha basi nne huwa zinalenga target....pia ni mzuri katika counter attack huku akitumia vizuri left hook na uppercut katika kasi ya umeme....Kwa upande wa PAC MAN namtazama kama bondia mwenye kasi ya kutupa makonde ambaye hajapata kutokea chini ya jua....huku akiwa na defence skills mbovu......PACMAN huwa anatumia sana JAB katika kushambulia hali inayomfanya muda mwingi anaposhambulia sehemu kubwa ya sura yake kuwa wazi na kuwapa fursa wapinzani kutumbukiza makonde kadhaa usoni....lakini vile vile ni kama anatumia muda mwingi kutupa ngumi ili adui asimsogelee karibu......ambapo kwa bondia mjanja kama MAYWEATHER atamfanya afurahi kwa skills yake nzuri ya kukwepa................KIUJUMLA PAMBANO LITAKUWA GUMU SANA KWA PANDE ZOTE MBILI.....
hata weusi asilimia kubwa wanamchukia sana floyd, mwisho wa siku kazi yake iko ulingoni, yake binafsi sidhani kama yanatuhusu saaaana!
Asante Mkuu kwa taarifa w i will do best nimgongee jirani yangu mi kwangu nina azam tv....!
Hawa ni wepesi mno! Uzito wa Mayweather ni kilo 66.4 (paundi 146), na uzito wa Mfilipino ni kilo 65.9 (paundi 145). Ngumi za wavulana hawa ni kama kumkuna tu Tyson!
Namtabiria ushindi PAC MANokey, then what do u predict
Namtabiria ushindi PAC MAN
Good grief!
Kabisa hujui tofauti ya heavyweight na welterweight?