Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Sidhani kama alikuwa anamkwepa kwa sababu alikuwa anamuogopa. This is the most expensive boxing match ever. He was just building up his bargaining power by playing hard to get.

Kama ulishaangalia ngumi za mohammad alli his biggest trick was to upset the opponent and frustrate him. Alikuwa anamtukana mshindani mwanzo mwisho. Just so in this one i wish moneyweather can use that card hehehe.

Hahaaahaa mi naona wanaomshangilia moneyweather wanatupa ngumi hewani shauri zako.
Mohammed Ali ni legend, the best fighter in history of boxing, alikuwa anajua kuwakasirisha sana ana matusi ya kumfanya opponent wake aje kwa papara
 
Mbona arsenal inafungwa kila siku na haiachi kukosa mashabiki hehehe. Hebu kuwa mzalendo (the race card applies here).
Mayweather shld adopt that emergency trick

Nimejaribu kuangalia mapambano ya Pacq ,ni mtu amabaye ana speed saana za kurusha ngumi .

Money whether , ni mtu ambaye anayerusha ngumi kwa kufanya Timing .

Zote hizo ni technique za mchezo wa ndondi.

Lakini nampa advantage kubwa Saana Pacq ... kwa technique yake
Japo Round zitaenda mpaka Round ya 9 .But it will be KO.

C kwel Mkuu, mayweather ndio bondia pekee dunian mweny uwezo wa kurusha ngumi za haraka Na Kwa kasi ya ajabu, Na pacq Ni mkal wa timing, fatilia mchezo
 
Mbona arsenal inafungwa kila siku na haiachi kukosa mashabiki hehehe. Hebu kuwa mzalendo (the race card applies here).
Mayweather shld adopt that emergency trick

We mchokozi kweli umeenda arsenal tena? tuone kama ataitumia hiyo trick maana mwenzie anafikiria urais kwa hiyo every penny counts na jamaa yetu yeye zitaishia ..... unajua tena
1430469032343.jpg
 
Naona dunia imeishiwa wanamasumbwi wa ukweli wazee wa "heavy weight" mpaka watu wanasubiri kwa hamu kutazama hawa wavulana! Enzi za kina Tyson wala dunia isingetaharuki kwa pambano la uzito wa saizi ya kina Matumla! Nimeangalia kwenye you tube mapambano kadhaa ya wote wawili halafu nikaangalia na mapambano ya mnyama Tyson mpaka nikacheka! Kweli ni mabondia wazuri kwa kiwango chao lakini wajanja wamewa-overpromote kwa malengo ya kibiashara na dunia imeingia mkenge! Ndiyo maana kuna wasi wasi kuwa mchezo utakaochezwa utakuwa wa kisanii ili matokeo yawe sare ili warudiane na wajanja wapige tena pesa! Wajanja wamefanikiwa kuliko muda wowote mwingine kuufanya mpambano huu kuvunja rekodi ya matukio ya kibiashara duniani! Wameuita ni mpambano wa karne na mtu asipokuwa makini anaweza kufikiri kuwa ni pambano kali kuweza kutokea katika historia ya masumbwi duniani, kumbe wanamaanisha ni mpambano ambao umepigiwa chapuo kuliko mapambano yote yaliyowahi kutokea na ni tukio la aina yake kibiashara maana limeingiza pesa nyingi mno kupitia udhamini na haki za matangazo, kiingilio japo ni kikubwa ni kama nyongeza tu!

Wakati nafuatilia matangazo hayo nilidhani ni uzito wa juu kama enzi za Evander Hollyfield, Tyson na wengine kumbe ni hawa macheckbob.
 
We mchokozi kweli umeenda arsenal tena? tuone kama ataitumia hiyo trick maana mwenzie anafikiria urais kwa hiyo every penny counts na jamaa yetu yeye zitaishia ..... unajua tena
View attachment 248294

Hata mie nataka kuwa rais bwana (wa vikoba vya mtaani). Huko kwenye siasa sijui kuna nini (nimemshangaa ben carson badala ya kuwaza jinsi ya kutransplant ubongo anataka kuuza sura).

Ila statistics za manny ziko vizuri ila tunakomaa tu. Countdown ilishaanza
 
Attachments

  • 1430473030899.jpg
    1430473030899.jpg
    43.7 KB · Views: 215
Hata mie nataka kuwa rais bwana (wa vikoba vya mtaani). Huko kwenye siasa sijui kuna nini (nimemshangaa ben carson badala ya kuwaza jinsi ya kutransplant ubongo anataka kuuza sura).

Ila statistics za manny ziko vizuri ila tunakomaa tu. Countdown ilishaanza

Dr Ben ? Aliona Bush alivyozungukwa akaona na yeye anaweza. And you are a Dr as well, sorry don't answer that may be next time tugange ya pacman kwanza
 
Mayweather doesnt need any encouragement from the media. The one good reason people not supporting him as Nyani Ngabu put it, everyone wishes he could he could be served 'the humble pie'. Mwisho wa siku he is over confident and flaunty, ndo maana hapendwi. All this media frenzy against him is just pushing him higher. Hebu tuweke bet bossman (ya pesa, sio in kind lol)

Don't get it twisted though.

The 'streets' is solidly behind him.
 
Wakati nafuatilia matangazo hayo nilidhani ni uzito wa juu kama enzi za Evander Hollyfield, Tyson na wengine kumbe ni hawa macheckbob.

Pambano lao ni kwa mabondia wenye uzito usiozidi paundi 147 ambao ni sawa na kilo 66.8! Hata ukiangalia picha zao wakati wa kupima uzito wanaonekana ni wepesi sana. Ndio maana waandaaji watasema yote lakini hawatamki moja kwa moja uzito wao. Hata ukiangalia picha zao wakati wanapima uzito, wameainisha vitu vyote isipokuwa uzito, wanafahamu kabisa kuwa kuna watu wengi tu hawafahamu kama mpambano huu ni wa wavulana katika Medani ya soka na wakiligundua hili watapoteza interest!
 
Hata mie nataka kuwa rais bwana (wa vikoba vya mtaani). Huko kwenye siasa sijui kuna nini (nimemshangaa ben carson badala ya kuwaza jinsi ya kutransplant ubongo anataka kuuza sura).

Ila statistics za manny ziko vizuri ila tunakomaa tu. Countdown ilishaanza

Ukitazama picha ya mabondia tunaosubiri wapambane, kwenye picha wameainisha kila kitu ikiwa ni pamoja na urefu wao isipokuwa uzito wao hauonyeshwi japo walipima, sasa jiulize kwa nini? Japo uzito ni kigezo muhimu kwenye ndondi lakini wanaonyesha urefu na uzito unawekwa kapuni! Si kwa bahati mbaya, wanajua wanachokifanya, wanajua kabisa kuwa wameiburuza dunia iamini kuwa huu ni mpambano wa karne! Sasa katika mazingira hayo ukionyesha uzito wa mabondia wako ni kilo ambazo ni pungufu ya 70, utamaliza utamu wote na wale waliokuwa wanaburuzwa watashtuka! Naomba nieleweke, sidharau pambano na nawaheshimu mabondia husika ila kudai kuwa ni mpambano wa karne huo ni uongo wa hali ya juu, na haustahili kabisa kutikisa dunia na kufanywa wa gharama kiasi hicho! Ila wajanja wametumia kwa ustadi vyombo vya habari na wamepiga pesa kuliko unavyoweza kufikiri!! Huu ni mpambano wa wavulana tu wa kilo 64---67! hata kama wavulana wenyewe na mafundi wa ndondi,! Kamwe hauwezi kuwa mpambano wa karne! Kama huu ukiitwa mpambano wa karne, ule wa Tyson na Lewis tungeuitaje?
 
But after all this hype and the long 6 years
that it took to actually make this superfight a
reality, what do these boxing greats want to
do afterwards? Well in the case of the
Michigan-native, Mayweather Jr. just wants a
humble meal of comfort food, though cooked
by celebrity chef and successful restaurateur
Gordon Ramsay.
“All I want in return, after I win the fight, is
to go a little way down the Strip to his grill at
Caesar’s Palace and have the best chef in the
world cook me up chicken wings, a burger
and cheesecake,” Mayweather Jr. tells
the Malaysian Digest. “And I don’t mean one
of his employees, I want the best chef in the
world cooking my post-fight dinner — that’s
not much to ask for ringside tickets.”
 
A few weeks ago, Soriano said he got a phone
call from Pacquiao at 2:30am in Manila.
It was the afternoon in the boxing legend’s Los
Angeles training camp.
“He said, pastor how are you? I am not
worried. I am not stressed in this fight. God will
bless me with favour. Victory belongs to us,”
Soriano said.
Publicly, Pacquiao has also been just as
confident that God will help him defeat
Mayweather.
“The Lord, my God that I am serving will
deliver him into my hands,” Pacquiao said on
Twitter.
 
I enjoy my life and i never categorize as it being anything. I also watch top gear and follow up car racings and football. I dont blame the poor gal kwa kunishangaa hahaha.
Cc Kongosho (usiseme naangalia cartoon pia)

Really gal?!, car racing, boxing?,... mie pia nashangaa, kama boxing ndo kabsaa!, ntarudi humu kuona huu mpambano uliendaje, I can't watch boxing with the simple fact that I can't stand watching somebody's behind getting whooped!
 
A few weeks ago, Soriano said he got a phone
call from Pacquiao at 2:30am in Manila.
It was the afternoon in the boxing legend’s Los
Angeles training camp.
“He said, pastor how are you? I am not
worried. I am not stressed in this fight. God will
bless me with favour. Victory belongs to us,”
Soriano said.
Publicly, Pacquiao has also been just as
confident that God will help him defeat
Mayweather.
“The Lord, my God that I am serving will
deliver him into my hands,” Pacquiao said on
Twitter.

Mungu gani huyo anaependa michezo ya kupigana?
 
Mimi Binafsi ni mshabiki mkubwa sana wa Team Mayweather...ila kusema ukweli sioni kama bondia wetu anaweza kupata point kutoka kwa Pac Man. Anyway acha nimuombe Mungu wangu na Mungu wa Mayweather atusaidie kushinda mtanange huu wa kukata na shoka. Ila matumaini ya kushinda ni madogo sana.
 
Hahaha (afu naogopa mijusi, imagine. Really weird!!)
You ar the good gal for The Boss. Lol
Really gal?!, car racing, boxing?,... mie pia nashangaa, kama boxing ndo kabsaa!, ntarudi humu kuona huu mpambano uliendaje, I can't watch boxing with the simple fact that I can't stand watching somebody's behind getting whooped!
 
Last edited by a moderator:
THANK YOU Best! and so many people especially Black Americans like his cockiness, na huwezi kukuta black americans wanamsupport mpinzani wake hasa anayepigana naye kama si mweusi. I love his cockiness too ndiyo sababu kubwa wasio weusi wengi hawampendi huyu na wengi katika mapambano yake hutaka kuona anatiwa adabu kwa kiburi chake cha hali ya juu. I hope for the 48th time he'd be able to prevail one more time and to prove to the whole world that Floyd Money Mayweather is the best in the World.

Mayweather doesnt need any encouragement from the media. The one good reason people not supporting him as Nyani Ngabu put it, everyone wishes he could he could be served 'the humble pie'. Mwisho wa siku he is over confident and flaunty, ndo maana hapendwi. All this media frenzy against him is just pushing him higher. Hebu tuweke bet bossman (ya pesa, sio in kind lol)
 
Wanaojua ngumi duniani wanaujua ubora wa hili pambano ndio maana linasubiriwa kwa hamu kubwa. Ucheckbob na kuwa mwanamasumbwi ni vitu viwili mbali mbali, vinginevyo kila checkbob naye angetaka kwenda kukunja $180 million ili atanue kama Money Mayweather.

Wakati nafuatilia matangazo hayo nilidhani ni uzito wa juu kama enzi za Evander Hollyfield, Tyson na wengine kumbe ni hawa macheckbob.
 
Back
Top Bottom