Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Wanaojua ngumi duniani wanaujua ubora wa hili pambano ndio maana linasubiriwa kwa hamu kubwa. Ucheckbob na kuwa mwanamasumbwi ni vitu viwili mbali mbali, vinginevyo kila checkbob naye angetaka kwenda kukunja $180 million ili atanue kama Money Mayweather.

Achana na mshamba huyo he still stuck in the 90s
 
Tyson si huyu huyu aliyeuma meno? na aliyekwa chaliiii katika pambano ambalo ambalo hakuna aliyetegemea kama atashindwa? Watanzania kwa kuponda banaa! Dah! Utadhani wao wakiambiwa wapande jukwaani na Money ua Manny wataweze kumaliza hata sekunde 30. Kama huna cha maana cha kuandika kuhusu pambano hili badala ya kuliponda pita kimya kimya bila kutia neno.

Tyson enzi zake zilishapita, katika uzito huo sasa hivi hakuna mvuto kama ulikuowepo miaka ya nyuma ndiyo maana mapambano ya uzito huo siku hizi hayana mashamsham kama miaka ya nyuma. Sasa hivi habari ya MUJINI ni Money Mayweather anapopanda ulingoni basi wapenzi wa masumbwi duniani wengi wao hufuatilia kwa karibu kutaka kujua kinachoendelea wenye bahati watahudhuria na wengine kuangalia kwenye TV au mtandaoni.


Naona dunia imeishiwa wanamasumbwi wa ukweli wazee wa "heavy weight" mpaka watu wanasubiri kwa hamu kutazama hawa wavulana! Enzi za kina Tyson wala dunia isingetaharuki kwa pambano la uzito wa saizi ya kina Matumla! Nimeangalia kwenye you tube mapambano kadhaa ya wote wawili halafu nikaangalia na mapambano ya mnyama Tyson mpaka nikacheka! Kweli ni mabondia wazuri kwa kiwango chao lakini wajanja wamewa-overpromote kwa malengo ya kibiashara na dunia imeingia mkenge! Ndiyo maana kuna wasi wasi kuwa mchezo utakaochezwa utakuwa wa kisanii ili matokeo yawe sare ili warudiane na wajanja wapige tena pesa! Wajanja wamefanikiwa kuliko muda wowote mwingine kuufanya mpambano huu kuvunja rekodi ya matukio ya kibiashara duniani! Wameuita ni mpambano wa karne na mtu asipokuwa makini anaweza kufikiri kuwa ni pambano kali kuweza kutokea katika historia ya masumbwi duniani, kumbe wanamaanisha ni mpambano ambao umepigiwa chapuo kuliko mapambano yote yaliyowahi kutokea na ni tukio la aina yake kibiashara maana limeingiza pesa nyingi mno kupitia udhamini na haki za matangazo, kiingilio japo ni kikubwa ni kama nyongeza tu!
 
Nafurahi manny pac anavyomtaja Mungu wake kila wakati.
Ila asikasirike maana Mwenyezi Mungu anajua kutujaribu sana. What if akishindwa? Je ataendelea kumtukuza Mwenyezi Mungu wake?

Sometimes we human dont know what we are asking.
 
Hivi mungu wa manny ndio mungu wangu mimi? I doubt lol.
Dont mind me, nimepanic hehehe
Nafurahi manny pac anavyomtaja Mungu wake kila wakati.
Ila asikasirike maana Mwenyezi Mungu anajua kutujaribu sana. What if akishindwa? Je ataendelea kumtukuza Mwenyezi Mungu wake?

Sometimes we human dont know what we are asking.
 
THANK YOU Best! and so many people especially Black Americans like his cockiness, na huwezi kukuta black americans wanamsupport mpinzani wake hasa anayepigana naye kama si mweusi. I love his cockiness too ndiyo sababu kubwa wasio weusi wengi hawampendi huyu na wengi katika mapambano yake hutaka kuona anatiwa adabu kwa kiburi chake cha hali ya juu. I hope for the 48th time he'd be able to prevail one more time and to prove to the whole world that Floyd Money Mayweather is the best in the World.

Dah!

Hivi ni lini tutaishi katika color-blind society?

Yaani karibu kila kitu tunakiangalia kupitia lens ya race.

Watu weusi nao wana ubaguzi sana wakati mwingine.

Kisa tu Manny si mweusi basi moja kwa moja ndo wanamuunga mkono mweusi mwenzao Mayweather? Shameful.

Inasikitisha sana.
 
Mimi Binafsi ni mshabiki mkubwa sana wa Team Mayweather...ila kusema ukweli sioni kama bondia wetu anaweza kupata point kutoka kwa Pac Man. Anyway acha nimuombe Mungu wangu na Mungu wa Mayweather atusaidie kushinda mtanange huu wa kukata na shoka. Ila matumaini ya kushinda ni madogo sana.

Huyo pac man lazima akae..usiwe na hofu yoyote
 
Ukitazama picha ya mabondia tunaosubiri wapambane, kwenye picha wameainisha kila kitu ikiwa ni pamoja na urefu wao isipokuwa uzito wao hauonyeshwi japo walipima, sasa jiulize kwa nini? Japo uzito ni kigezo muhimu kwenye ndondi lakini wanaonyesha urefu na uzito unawekwa kapuni! Si kwa bahati mbaya, wanajua wanachokifanya, wanajua kabisa kuwa wameiburuza dunia iamini kuwa huu ni mpambano wa karne! Sasa katika mazingira hayo ukionyesha uzito wa mabondia wako ni kilo ambazo ni pungufu ya 70, utamaliza utamu wote na wale waliokuwa wanaburuzwa watashtuka! Naomba nieleweke, sidharau pambano na nawaheshimu mabondia husika ila kudai kuwa ni mpambano wa karne huo ni uongo wa hali ya juu, na haustahili kabisa kutikisa dunia na kufanywa wa gharama kiasi hicho! Ila wajanja wametumia kwa ustadi vyombo vya habari na wamepiga pesa kuliko unavyoweza kufikiri!! Huu ni mpambano wa wavulana tu wa kilo 64---67! hata kama wavulana wenyewe na mafundi wa ndondi,! Kamwe hauwezi kuwa mpambano wa karne! Kama huu ukiitwa mpambano wa karne, ule wa Tyson na Lewis tungeuitaje?

kha nimelingana nao uzito!
 
Game linapigwa muda gani kwa time za huku bongo?
 
The 38-year-old Mayweather, who is putting his
undefeated record on the line to fight Filipino
icon Pacquiao at the MGM Grand, usually needs
a few rounds to feel out and adjust to his
opponent’s game plan.
“I am going to approach it in a very, very
aggressive way and go out there and press the
attack early,” Mayweather said Thursday night
on the NBA on TNT.
“Of course I would love to win by knockout. I
am pretty sure he is going to come at me
extremely strong.
“I am facing one of the best fighters I have
ever faced.”
Mayweather was on the NBA television show
with hosts Shaquille O’Neal, Charles Barkley,
Kenny Smith and Ernie Johnson.

Mayweather, who is 47-0 with 26 KOs, told the
shows hosts the secret to keeping his
unblemished record intact is that he never
takes any opponent lightly.
“Even if I am fighting a guy they say is just a
regular guy then I am still going to train
extremely hard.”
Mayweather told Barkley he doesn’t watch
tapes of his opponents because he learns all he
needs to about them once they are trading
blows in the ring.
“I never watch my opponent. I feel like you can
have a certain game plan, but once you get
inside that square circle the game plan
changes,” Mayweather said.
“Boxers may fight certain guys the same way,
but they fight me different.”
 
The rags-to-riches story of Pacquiao, along with
his famously humble manner, has made him a
towering national hero.
For many of his countrymen the 36-year-old,
winner of an unprecedented eight world
championships in different weight divisions,
symbolises their hope of escaping the grinding
poverty that afflicts one in four Filipinos.

Police expect villains to be just as avidly
following the action broadcast from the MGM
Grand Garden Arena.
“Pacquiao has a proven impact on the
occurrence of crimes. The crime rate goes down
because everybody is holed up watching him
fight,” national police spokesman Senior
Superintendent Bartolome Tobias told AFP.
The fight has taken on an epic hue, pitching the
modest David of the Philippines against an
American Goliath, the brash — and undefeated
— Mayweather.
Even God is on the side of the born-again
Christian, according to many in Asia’s bastion of
Roman Catholicism.
“He is a very prayerful man. He has the spirit,
he has the faith,” said Mona Soriano, after she
took part in a sparring session in a Manila
boxing gym.

The “Pac-man”, who started his career as a fish
port worker, is now also a member of
parliament, actor, basketball professional and
popular singer. His supporters want him to run
for the presidency.
“He put the Philippines on the world map… I’m
a huge fan. He is the best boxer in the world,”
beef-stew hawker Arvel Oquendo said at his
sidewalk stall in Manila.
“The whole country may be in disarray, but for
a few hours, we will forget all our problems,”
said the 26-year-old.
 
We sikitika tu lakini evidence ya kutosha ipo. Mayweather angekuwa ni mweupe na attitude hii hii wengi wao wangempenda sana lakini kwa kuwa ni mweusi basi wana chuki za kutisha dhidi yake mwenyewe kishasema hivyo mara nyingi tu kwamba chuki dhidi yake zinasababishwa kwa kiasi kikubwa na rangi yake na maandamano yanayoendelea katika miji mbali mbali mikubwa US ni uthibitisho mwingine kwamba bado kuna safari ndefu sana kuwasili kwenye maskani inayoitwa "color blind society" huwezi kukuta mphilipino, mchina, mvietnam au mkorea katika pambano la leo akawa kwenye kona ya Mayweather, na hawa wenzetu wao hawana ubaguzi kabisa.

Dah!

Hivi ni lini tutaishi katika color-blind society?

Yaani karibu kila kitu tunakiangalia kupitia lens ya race.

Watu weusi nao wana ubaguzi sana wakati mwingine.

Kisa tu Manny si mweusi basi moja kwa moja ndo wanamuunga mkono mweusi mwenzao Mayweather? Shameful.

Inasikitisha sana.
 
hivi uzito wa ngumi ya kina Tyson unatofautiana na hii au wote sawa,maana ukiangalia ngumi za kina tyson ni hatari mno
 
Game linapigwa muda gani kwa time za huku bongo?
around saa12 asubuhi tarehe 3 jumapili, tune SS2 kuanzia saa 11, wengine hatuwezi kucheki huo mtanange nyumbani tutafumua ngumi wake zetu na midadi!
 
  • Thanks
Reactions: 999
We sikitika tu lakini evidence ya kutosha ipo. Mayweather angekuwa ni mweupe na attitude hii hii wengi wao wangempenda sana lakini kwa kuwa ni mweusi basi wana chuki za kutisha dhidi yake mwenyewe kishasema hivyo mara nyingi tu kwamba chuki dhidi yake zinasababishwa kwa kiasi kikubwa na rangi yake na maandamano yanayoendelea katika miji mbali mbali mikubwa US ni uthibitisho mwingine kwamba bado kuna safari ndefu sana kuwasili kwenye maskani inayoitwa "color blind society"

Una statistical data zozote zile zinazothibitisha madai yako?

Au ni madai yatokanayo na perception tu?

Btw, unajua kwamba kati ya wale polisi sita waliofunguliwa mashitaka kuna weusi pia?

Na je, unajua kwamba alifunguliwa makubwa zaidi kuliko wenzake ni mweusi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom