Hata mimi nilitaka adundwe but naanza kuhisi atashinda
Pacqiao kapata sport sana na media..
nahisi Mayweather ame train harder and will be very careful
Tuacheni utani mfilipino atachapwa,mayweather ana nguvu mno halafu anashtukiza akikupata lazima ukae,halafu a napenda kupiga tumbo lazima uachie taya
#TeamMayweatherforLife nishanunua ni kiasi cha kuswitch channel tu toka NBA Game itakayokuwa inaendelea nyakati hizo tayari kuuona mpambano ambao labda unaweza kuendelea kuzungumziwa kwa miaka mingi ijayo. Weye uko kona ipi? Sitegemei kusikia uko na mphillipino.
Aisee hii kitu kwenye high definition ni $99.99 na standard definition ni $89.99, gademu.
Na kwa kweli sitamaindi sana kama Money May akilishwa humble pie.
Ila aisee huwa nakuwa nervous sana hasa anaposhambuliwa dah!
Uliona alipopigana na Shane Mosley? Money May alinusurika kuwa knocked out. Kama Shane angekuwa na pumzi za kutosha basi sina shaka kabisa kwamba angeweza kumpiga.
Sasa Pacquiao huwa anarusha ngumi nyingi sana halafu ana pumzi za kutosha. Na ngumi zake zina power.
Mayweather ni defensive fighter halafu hana power kama Pacman. Money akizembea anaweza akapewa kichapo hii Jumamosi.
Naam Mkuu tuombe uzima siku hiyo haiko mbali. Itakuwa poa sana kama Money Mayweather akishinda kwa KO na kisha kubwanga manyanga ili kufuata ushauri wa Baba yake.