zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
kwa nini wasizichape kavu kavu tujue moja?
Kavu kavu floyd hatoki,Paqs anacheza michezo yote, paqs ni mutu nyingine kwenye kavu kavu.
kwa nini wasizichape kavu kavu tujue moja?
Ktk hizo ngumu za haraka haraka sio km zitampata Floyd kwasababu jamaa anajua kujilinda vzr sn na kushambulia. Sasa km Paqc atakuja Na hiyo kadi KO ipo kabisa. Lazima adundwe. Mi nafikiri ktk huu mchezo Paqc hatoweza kujiachia Na kurusha ngumi tu eti kwa kua ana kasi itamfanya alambe sakafu vibaya.
Mnaodai Money Mayweather anabebwa wasikilizeni wanamasumbwi mashuhuri duniani ambao wamewahi kupigana naye na wakapigwa kwenye post #115. Jamaa anaweza kuwa anachukiwa na wengi lakini kusema kweli ni mkali. Mimi nimeangalia hiyo utube yote na nilipowaona hao wanamasumbwi waliowahi kupigana naye na kwa kujua jinsi wanavyomchukia basi nikadhani watamponda tu na blah blah blah nyingi sana. Na kinyume na matarajio yangu wamemfagilia sana tu na kusema jamaa anatumia akili sana anapokuwa jukwaani na yuko fit ile mbaya.
Amini mkuu KO hakuna kwanza watataka kuonyesha burudani na pambano lazima litaenda zaidi ya raund 5 so hakuna KO milele..............!
Amini mkuu KO hakuna kwanza watataka kuonyesha burudani na pambano lazima litaenda zaidi ya raund 5 so hakuna KO milele..............!
Paqc hana uwezo Wa kufanya KO lkn Floyd huo uwezo anao Na ni moja ya mipango Yake ktk hili pambano kulimaliza kwa KO
Lieutenant colonel Emanuel nampa kura yangu
Kanali.. camp gani ww!?
Ko ni lazima kwa heshima ya ndondi Duniani
Huyu Pacquiao nadhani atakuwa na kiherehere cha kutaka kumpeleka sakafuni Money katika raundi tatu za mwanzo, hivyo atakuja kichwa kichwa. Akifanya makosa haya basi pambano linaweza lisifike hata round tano. Atasikia paaaa akijastuka yuko sakafuni anaona nyota na kizunguzungu. Inuka inuka na wewe, referee anamaliza pambano kwa ushindi wa KO.
Amini mkuu KO hakuna kwanza watataka kuonyesha burudani na pambano lazima litaenda zaidi ya raund 5 so hakuna KO milele..............!
Huyu Pacquiao nadhani atakuwa na kiherehere cha kutaka kumpeleka sakafuni Money katika raundi tatu za mwanzo, hivyo atakuja kichwa kichwa. Akifanya makosa haya basi pambano linaweza lisifike hata round tano. Atasikia paaaa akijastuka yuko sakafuni anaona nyota na kizunguzungu. Inuka inuka na wewe, referee anamaliza pambano kwa ushindi wa KO.
Kumbe wewe ni team Mayweather....
Tayari lakini ushanunua hiyo PPV?
Maana jamaa wa HBO wanashauri watu wanunue mapema kuepuka msongamano.
Mi hapa tayari nshanunua. Siamini nimetoa $99.99.
But oh well....