Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,539
tutafsirie wengine sio wote tunajuwa hiyo lugha ya kifaransa hehe.
kuna uwezekano wa marudio...
tutafsirie wengine sio wote tunajuwa hiyo lugha ya kifaransa hehe.
Mpaka walivyoenda Round ya 6 nafikiri Maidana alikuwa akiongoza ila zilizo baki 6 Floyd kapigana vizuri siku zote anapewa yule ambaye ana records nzuri marudiano ni itakuwa vizuri kwao.kashinda mkuu floyd weather by majority decision ila nahisi kwa upande wangu maidana kashinda hii mechi na mwenyewe anaclaim kwamba kashinda ila inaonekana kwamba kutakuwa na rematch coz bondia wote wamekubaliana hilo so tusubiri lini itakuwa
Kabisa huwezi Amini Khan alimpiga huyu Maidana tena kwa Speed na kila kitu Khan wa sasahivi sio yule wa zamani sijui nini kimemuharibu Khan asijaribu kabisa kutia mguu kwa Floyd. Maidana mnyama hajamuogopa Floyd ila Floyd katumia akili ya kupigana.Maidana gave Floyd the run for his money. Floyd had more power punches and better rate connection.
Huyu Bieber si alipigwa ban asiishi US ama imekuaje?
Pamoja na kwamba mimi ni team Money May lakini sijakubali kwamba Money kashinda...tena kwa margins kubwa kama hizo za hao judges wawili.
Sana sana ilikuwa droo. But like the cliche goes....in order to be the champ you gotta beat the champ...translation....you gotta KTFO the champ or just whup his azz real good.
Anything else that's close they will always give it to the champ.
Hopefully we'll a second go round.
kweli Ban za social Media anaiingizia USA pesa nakulipa Tax unafikiri atapewa Ban kirahisi.ban za kwenye social media hizo mkuu mbona yuko na miwani yake mikubwa myeusi
Kabisa huwezi Amini Khan alimpiga huyu Maidana tena kwa Speed na kila kitu Khan wa sasahivi sio yule wa zamani sijui nini kimemuharibu Khan asijaribu kabisa kutia mguu kwa Floyd. Maidana mnyama hajamuogopa Floyd ila Floyd katumia akili ya kupigana.
kashinda mkuu floyd weather by majority decision ila nahisi kwa upande wangu maidana kashinda hii mechi na mwenyewe anaclaim kwamba kashinda ila inaonekana kwamba kutakuwa na rematch coz bondia wote wamekubaliana hilo so tusubiri lini itakuwa
kweli Ban za social Media anaiingizia USA pesa nakulipa Tax unafikiri atapewa Ban kirahisi.
NBA kuna bonge la Game Clippers siwapendi ila duh wanacheza vizuri.
!
!
tunashukuru mno mkuu kwa updates zako maana ni kama tulikuwepo mbele ya luninga.
Thank you
Mpaka walivyoenda Round ya 6 nafikiri Maidana alikuwa akiongoza ila zilizo baki 6 Floyd kapigana vizuri siku zote anapewa yule ambaye ana records nzuri marudiano ni itakuwa vizuri kwao.
Mpaka walivyoenda Round ya 6 nafikiri Maidana alikuwa akiongoza ila zilizo baki 6 Floyd kapigana vizuri siku zote anapewa yule ambaye ana records nzuri marudiano ni itakuwa vizuri kwao.
floyd the money mayweather is the winner
![]()
pamooja mkuu baadae nikitulia nitatupia mapicha ya kutosha tu, na short video clips. Ya jinsi pamabano lilivyokuwa
Wenye madishi ya zuku tuangalie Chanel no ngapi?