Al Haymon hawezi kubali money maker wake akashindwa kwnye mikono ya majaji.
Ila most flomos na morons wanaojifanya wanajua boxing hawaezi kuelewa kua kuna mtu anaitwa Al Haymon huyu ndo mungu mtu katika ngumi.
Bila yeye Floyd asingekua anamake hizo ela anazopata leo. Najua utabisha ili kuthibitisha unaangalia ngumi siku Floyd akicheza.
Mimi ni hardcore boxing fan, I love boxing so dearly. It is a part of me.
Naangalia shows zote za ngumi kuanzia Friday Night Fights, Golden Boy Live, Sho Extreme, hbo boxing, boxing after dark, Showtime Championship Boxing etc
Najua ngumi...nawajua most fighters wanaocheza ngumi America. Najua siasa ya ngumi jinsi inavyoendeshwa America.
Boxers wanakua "advised' na Al Haymon hawashindagi kirahisi kwa majaji tena kwnye mapambano muhimu. Al Haymon ana nguvu zaidi ya alizokua nazo Don Kind kipindi kile.
Ngoja nikupe mfano mzuri, Danny Garcia ambaye ni unified jr. Welterweight champ alivoenda kufight Puerto Rico (yeye ana asili ya PR) vs Mauricio Herrera he was clearly beaten up, hata flomos walikubali hilo....baba yake Danny ambaye ni trainer wake alikiri walipigwa..lakini only God knows how he won.
Mfano mwingine ni huyu Andre Berto ebwana huyu ni 'Al Haymon guy" ...ni average boxer lakini angalia hela alizokua analipwa tena kwa kupigana na "bums" kwnye uwanja ambao una mashabiki wachache.
Mfano mwingne juzi kwnye undercard ya Mayweather vs Maidana...
Adrien Broner alilipwa dola 1.25M wakati Maidana alilipwa 1.5M japo yeye ndo co-main eventer..
Na ukizingatia broner was coming off a loss.
Kulipwa zaid ya dola milioni 1 moja ya mafanikio makubwa katika ngumi.
Mkuu unaongea sana bila fact, hizo majungu na tetesi has nothing to do na anachofanya May money on the ring
Statics doesn't lie
Kwanini hawampigi kwa KO if so
May anacheza defensive zaidi with acurate punch, hakuna bondia ameweza kuuvuka huo mtego wa May money
Boxing sio siasa ni kanuni, land more accurate punches avoid your opponent punches
Sasa kama wewe hupendi style ya May money na unataka toe to toe hayo ni matatizo yako BINAFSI NA CHUKI ZAKO
Anachofanya May Money ni kutafuta ushindi na si kuwafurahisha HARDCORE FUN
binafsi sipendi kujadili propaganda zenu mara anadhaminiwa na Mungu mtu kwenye boxing, au anachagua opponents nk
mbona hao anao wachagua mnadai wanashinda kama ni wabovu? na kwanini hawamshindi kwa KO tuone huyo mdhanini wake ataizuiaje hiyo KO?
Hivi sasa May Money umri umekwenda na anapigana na vijana damu mbichi kabisa iweje basi washindwe kumchapa kwa point za mbali, uzuri nowdays bana hakuna longo longo kama mnavyojaribu kutuaminisha, statics zinajieleza
ukitaka kujua haya rudia kuangalia pambano with open mind
i
Nikweli round za mwanzo Chino alianza kwa preasure he through a lot of punches but most of them zilikua blocked au zili miss
sasa kuhukumu kwamba Chino alishinda sababu tu he through more punches na alikua anarudisha nyuma May money itakuwa si sahihi
Ntakubaliana na wewe kama utasema hupendi style ya may money lakini sitakubaliana na wewe kuleta majungu kwa maana yakukusanya all negativity about May money na ukaacha yaliomazuri yake kuhalalisha hoja zako
Hata mimi naweza kukupa tweets au comments kibao za ma experts wa boxing waliosema May money alistahiki
All ni all mnasubiri anaposhinda kwa point chache ndio mna rise na kuzusha upuuzi wenu