FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

Mi nilishasema siku zote Bingwa hulindwa.usitegemee hata siku moja unapambana na bingwa ukamshinda kwa point..siku zote unapopigan na bingwa mpige Kwa Knock Out (K O). Yaan hapo ndio utakuwa umefanikiwa lakin et kwa point thubutu..

Umeona eeh namwambia huyo flomo hapo juu anabisha..
Nakwambia mabondia walio chini ya Al Haymon hawapigwagi kizembe tena kwa points utasubiri sana.
Anagalia ilivokua kwa bingwa wa unified junior welterweight Danny Garcia alivooenda Puerto Rico....danny yupo chini ya Al Haymon ..alipigwa clear lakin ushindi akapewa.
Watu wagumu kuelewa jinsi ngumi zinavoendeshwa America
 
duuh mkuu huu ubishi wako na Paul S.S mngeenda mahakamani kabisa ili tujue mshindi nani

Mimi sihitaji kua mshindi....
Tatizo flomos ukiwaeleza kitu wanakua wabishi kuelewa ndo mana uyo flomo anakua mbishi
 
Last edited by a moderator:
Ambacho sikufikii wewe ni uwezo wako wa kujadili kwa matusi na dharau lakini si hoja

majungu ni kujadili na kukusanya all negativity kuhusu May Money na kufanya ndio msingi wa wako badala ya kujadili anachofanya kwenye ring

Unaweza kuchukuia utakavyo but you cant beat the fact that May money is unbeatable on the ring

The only way to prove it wrong ni akipigwa on the ring and not through damn opinions wa ma experts wako
Boxing is not about opinions au watu fulani kuto ridhika na matokeo, unataka kuleta ngonjera za mada maugo na nyalawila hapa
Its all about unachofanya kwenye ring hutaki kawaangalie hao wanaopigana hardcore lakini huwezi kuuondoa huo ukweli

Sikia wewe mimi sifuatiliagi ngumi za bongo hata siku moja.

Ivi unajua maaana ya "unbeatable" ...nadhani ulitaka kusema 'undefeated'....

Sikia nikwambia undefeated boxers wako wengi sana ...ngoja nikupe mfano....kuna
Andre Ward...huyu ndo namba mbili kwa ubora duniani...kuna Guilermo Rigo...kuna Danny Garcia....kuna Keith Thurman...kuna Shwan Porter.....kuna Deontay Wilder...kuna Omar Figueroa...wako wengi tu mbona.

Tatizo hamfatilii ngumi ndo mana...unachojua kwnye ngumi yupo Mayweather tu.

Hebu nioneshe tofauti yako na demu ambaye anaangilia mpira tuu kisa Chriatiano Ronaldo anacheza.
 
Nipe sababu ya msingi kwanini unamuita Gayweather?
Unajitia mjuaji wakati unashinda kwenye site zipo against na May money kuokota majungu na kuyaleta hapa
unajua ni akinani wameanzisha kumkebehi kwa hilo jina?

Haha hilo jina hardcore fans wengi tunalitumia kwa maboxers wengi ambao ni DUCKERS yani ambao ni cherry pickers....yanik ndo ivo.

Ila namheshimu sana Floyd ...the higheat paid athelete in all.of sports

Boxing is not dead!
 
watu wanaleta maneno maneno ya kina nyilawila na mada maugo,,,kujifanya kujua kwingi...eti may kapigwa !!umewaambia ukweli much knows..hehe wanadhani mpambano ulifanywa na majudge wa diamond jubilee...

Game ilikua draw ile...sema mkubwa hakosei
 
Nipe sababu ya msingi kwanini unamuita Gayweather?
Unajitia mjuaji wakati unashinda kwenye site zipo against na May money kuokota majungu na kuyaleta hapa
unajua ni akinani wameanzisha kumkebehi kwa hilo jina?

Mimi sishindagi mitandaoni wewe.

Halafu unataka kusema kua wazungu ama latinos wanamchukia May ndo mana wameanzisha ilo jina????

Utakua unaota, asilimia 90 ya audience wa ngumi America ni rangi nyeupe wakiongozwa na Mexicans, huonagi hata arenas zinakuaga full of Mexicans na other latinos???
Blacks hawanunuagi ppvs hata siku moja....
 
Hana hoja huyu zaidi ya kujifanya anajua sana na matusi
analeta siasa badala ya facts, ukishaona mtu anaanza matusi jua hana hoja
na ukiona mtuanza kusema aah sijui fulani ananunua majaji ujue hana hoja pia, ina maana fights 46 zote alinunua asipigwe hata KO
kijogoo toka aanze ngumu hajawahi kuangushwa chini hata fight moja, hawaoni hayo yote wanaona majungu tuuu

Julio Cesar Chavez jr alifikia rekodi ya 76-0 bila kupigwa.

So Relaaaaaaax, nobody is gonna get hurt!!
 
Game ilikua draw ile...sema mkubwa hakosei

i agree the game was tough and previously underestimated maidana..he proved me wrong...but what essence brought you to the reded conclusion...i would prefer game stats if you dont mind...
 
i agree the game was tough and previously underestimated maidana..he proved me wrong...but what essence brought you to the reded conclusion...i would prefer game stats if you dont mind...

Mashabiki kama nyie ndo mlimu-underestimate Chino kwani.mlikua hamumjui Vizuri....nilimjua toka his US debut alivompiga TKO victor Ortiz...ever since I became a fan.

Kama ulikua unafatilia vizuri All Acces mayweather alisema mwenyewe hamchukulii poa Maidana.. ila nyie ndo mlikua mnamchukulia poa.

Hukuona hadi May alikua anatama kumchagulia Chino gloves za kuvaa and all that???

Hukuona Ellerbe ilibidi aende Oxnard kwa Robert Gargia Boxing Academy kuangalia mazoezi ya Chino yanavoendelea maama alisikia.kua.jamaa anawaumiza sparring partners?????

Tatizo hamfatilii ngumi hadi May akicheza.....sawa na mademu wanaocheki.mpira kisa Ronaldo anacheza.
 
i only needed this proffessional analysis...not that much know wanna be...
..but what essence brought you to the red conclusion...i would prefer game stats if you dont mind...round by round

Tatizo hamfatilii ngumi hadi May akicheza.....sawa na mademu wanaocheki.mpira kisa Ronaldo anacheza.
this is not a gentleman way of making a credible argument....
 
i only needed this proffessional analysis...not that much know wanna be...

this is not a gentleman way of making a credible argument....

Most peple dont know shit about boxing.
-Roger Mayweather.
 
Most peple dont know shit about boxing.
-Roger Mayweather.
"Congratulations Floyd Mayweather. Maybe after you rest up, we can see you rumble with Manny Pacquiao," posted Ali in his verified account managed by his official publicist.In a statement posted on his Twitter account muhammadAli, the boxer recognized as ‘The Greatest'congratulated Mayweather for the close win over Maidana.
ukishapongezwa na the greatest kelele za team haters na watoa matusi haziumizi kichwa...
by the the way i still need a proffessional boxing analysis with game stats round by round by you the so self proclaimed ''knowing sh#t about boxing''
 
Last edited by a moderator:
“Congratulations Floyd Mayweather. Maybe after you rest up, we can see you rumble with Manny Pacquiao,” posted Ali in his verified account managed by his official publicist.In a statement posted on his Twitter account muhammadAli, the boxer recognized as ‘The Greatest’congratulated Mayweather for the close win over Maidana.
ukishapongezwa na the greatest kelele za team haters na watoa matusi haziumizi kichwa...
by the the way i still need a proffessional boxing analysis with game stats round by round by you the so self proclaimed ''knowing sh#t about boxing''

Hujamuelewa Ali wewe....well hata mimi nampongeza pia.
Hata Lenox Lewis alimpongeza pia.
Hata Justin Bieber alimpongeza.

Okay Ali alimwambia May kua ni time ya yeye kupigana na Pacman sasa maama wanajua Floyd ni cherry picker....ni ducker...
Anamkwepa Manny ...na sio.mara ya kwanza alimwepa Margarito kipindi alivokua in his prime.

Simlaumu sana floyd kwa kutofight na Manny....well Manny yupo Top Rank na Floyd anapromotiwa na Golden Boy Prom..kama promota mkuu..
Na top rank na golden boy hawafanyagi kazi pamoja ndo mana.

Anyway, nampongeza pia ila ile game ilikua draw sema basi tu.
 
Last edited by a moderator:
hujamuelewa ali wewe....well hata mimi nampongeza pia.
Hata lenox lewis alimpongeza pia.
Hata justin bieber alimpongeza.

okay ali alimwambia may kua ni time ya yeye kupigana na pacman sasa maama wanajua floyd ni cherry picker....ni ducker...
Anamkwepa manny
...na sio.mara ya kwanza alimwepa margarito kipindi alivokua in his prime.

Simlaumu sana floyd kwa kutofight na manny....well manny yupo top rank na floyd anapromotiwa na golden boy prom..kama promota mkuu..
Na top rank na golden boy hawafanyagi kazi pamoja ndo mana.

Anyway, nampongeza pia ila ile game ilikua draw sema basi tu.

you are now talking in a gentleman way..thats how wise people talk..sidhani kama kuna mtu anasubiri kwa hamu mpambano between pac man vs mayweather kama mimi...am real waiting for that showdown to happen as a neutral fan..
Ila mitusi uliokuwa unatoa post za awali i couldnt understand what was in your head.
.
 
i still need a proffessional boxing analysis with game stats round by round TO VALIDATE THE DRAW CONCLUSION..UNLESS OTHERWISE WE JOIN WITH THE GREATS LIKE ALI TO CONGRATULATE THE DUDE AND STOP JEALOUSY...
 
you are now talking in a gentleman way..thats how wise people talk..sidhani kama kuna mtu anasubiri kwa hamu mpambano between pac man vs mayweather kama mimi...am real waiting for that showdown to happen as a neutral fan..
Ila mitusi uliokuwa unatoa post za awali i couldnt understand what was in your head.
.

Hahah
Ila ni ngumu kupigana kwani....
Floyd alikua ana anataka amlipe manny dola 40M kama flat...halafu mapato mengine ya ppvs achukue Floyd...
Na ilisemekana kua fight ile ingetoa revenue ya zaidi ya dola 200M...zaidi ya asilimia 75 ya izo hela zinge kwenda kwa Floyd..

Tyta hata wewe ungekua Manny usingekubali. Pacman alitaka 50/50.

Floyd na team yake wana tabia ya kudhulumu....cheki Maidana ana jina kubwa kapigana na Floyd kalipwa 1.5M ...
Brandon Rios hana jina kams Maidana alipigana na Pacman akapewa dola 4M.

Bradley hana fan base kubwa kiivo lakini alivopigana na na Pacman akapewa dola 5M mechi ya kwanza rematch kala dola 6M.

Canelo kwa sasa hivi ndo anaongoza kua na fan base kubwa among Mexicans na latinos ambao na wanunuzi wakuu wa products za ngumi America alivocheza na Mayweather alikula dola 6M kama flat...na nyingine 6 kama hela za PPVs wakati Floyd alikula base/flat dola 41.5M na mapato mengine ya PPVs kakomba yeye...jumla aliondoka na zadi ya dola 90M wakati Canelo alipiga kama 12M.

So usishangae kwanin Mayweather v Pacman halifanyiki...japo kuna sababu nyingine nyingi tu.
 
hahah
ila ni ngumu kupigana kwani....
Floyd alikua ana anataka amlipe manny dola 40m kama flat...halafu mapato mengine ya ppvs achukue floyd...
Na ilisemekana kua fight ile ingetoa revenue ya zaidi ya dola 200m...zaidi ya asilimia 75 ya izo hela zinge kwenda kwa floyd..

Tyta hata wewe ungekua manny usingekubali. Pacman alitaka 50/50.

Floyd na team yake wana tabia ya kudhulumu....cheki maidana ana jina kubwa kapigana na floyd kalipwa 1.5m ...
Brandon rios hana jina kams maidana alipigana na pacman akapewa dola 4m.

Bradley hana fan base kubwa kiivo lakini alivopigana na na pacman akapewa dola 5m mechi ya kwanza rematch kala dola 6m.

Canelo kwa sasa hivi ndo anaongoza kua na fan base kubwa among mexicans na latinos ambao na wanunuzi wakuu wa products za ngumi america alivocheza na mayweather alikula dola 6m kama flat...na nyingine 6 kama hela za ppvs wakati floyd alikula base/flat dola 41.5m na mapato mengine ya ppvs kakomba yeye...jumla aliondoka na zadi ya dola 90m wakati canelo alipiga kama 12m.

So usishangae kwanin mayweather v pacman halifanyiki...japo kuna sababu nyingine nyingi tu.
i know floyd has got some controversial claims...his off the ring factors may make sense or be senseless...all i wish to see is a classical showdown of which i believe would go down in history as among the greatest fight in our generation just like ''rumble in the jungle''....nevertheles dude, give the guy his respect on the ring.
 
Sio tu namuheshimu Floyd as a fighter....
Naheshimu boxing kama mchezo naoupenda kuliko yote.
Nawaheshimu fighters wote kwan naelewa how it feels to be in the ring!
 
Attachments

  • 1399309843188.jpg
    1399309843188.jpg
    95 KB · Views: 58
Back
Top Bottom