FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

unaambiwa damu zilitokana na kugongana vichwa
May anapigana ngumi za kisayansi anajaribu kuhakikisha anapiga tu na hapigwi
Watu bado wanataka mangumi ya kizamani toe to toe, mnapigana kama wanyama

Hakuna cha kugongana vichwa. Amepigwa!
 
Jamaa wanakomaa kwamba MW kashinda kihalali na still he is undisputed!!!! Nawaangaliaaaa...

Hawajui siasa za ngumi hao....
Kuna mtu anaitwa Al Haymon huyu ni Mungu Mtu kwenye American boxing..... kawekeza mamilioni ya dola kwa Mayweather......haezi kukubali mtu anayempatia hela kuliko wote apoteze fight kwnye mikono ya majaji..
Mayweather alishinda round 5 kwa 7 za Maidana.
 
Hawa wadhamini wanafanya masikhara!

Umeona yani inasikitisha sana....
Mfano Brandon Rios sio mzuri kama Maidana alipigana na Pacquiao akapewa dola milioni 4.
Bradley alipigana na Pacquiao marudiano akapewa dola milioni 6..

Nafikiri manager wa Maidana alikosea sana....hajui ku-negotiate bei kabisa.
 
Hakuna cha kugongana vichwa. Amepigwa!

Huyo jamaa mwehu kweli....
Ukipigana kisayansi nank atakuangalia siku izi??
Watu wanataka brawls wanataka jinonkwa jino toe to toe

Kama haaamini akamchek jamaa wa cuba anaitwa Guilermo Rigo ndo the best technical boxer in the world lakini watu hawataki kumuangalia....anapigana sweet science ya maana lakini bado sana kukubalika na audience ya America halafu ana gold mbili za olimpic.

Watu wanapenda ma brawlers kama kina tyson...
Maywether anaogopa kushindwa nataka astaafu akiwa 'undefeted'
 
Ni accidental headbutt sawa....
Unaonekana hujui ngumi wewe, tor to toe ndo staili inayotakiwa sasa ivi.

Maywether hana sayansi yoyote ile ukitaka sayansi kamcheki Mcuba anayeitwa GUILERMO RIGONDAEUX ama gold mbili za olimpic lakini........

Ngumi sio mpira wewe, watu wanataka burudani sio unapiga ngumi moja unakimbia kama.mayweather

Nikweli sijui kupigana ngumi
Chino alisema kabla ya pambano atahakikisha anapiga punch 100 per round na kwamba hiyo ndio key yake ya ushindi
Mayweather Karusha only 426 punches na zimetua ngumi 230,sawa na 53%
Maidana karusha ngumi 858 zimetua ngumi 221,sawa na 25%

This isn't street fighting. It not about how many punches you throw or how much you chase someone around. It's about landing punches and accuracy. You can't just go in ring and start wind milling and think you won because you throw more punches and chase the person around. Maidana amepigwa kihalali kama alivyopigwa Oscar de la hoya, tena watu ni wepesi wa kusahau, Oscar de la hoya kwenye pambano lake ukiangalia haraka haraka unaweza kudhani kweli alishinda kama ilivyo kwa Maidana
May maoney ni bingwa wa kucheza na score card
 
Mchambuzi bora ngumi duniani Max Kellerman wa HBO anakwambia
'Percentages don't matter'

So mdau dont get twisted

How? kama hutaki percentages you have to win KO
Tatics zimesimama hivi
Mayweather [230/426, 53%]
Maidana [221/858, 25%]

Kama hutaki percentage basi compare ngumi 230 vs 221
Unasemaje?
 
Huyo jamaa mwehu kweli....
Ukipigana kisayansi nank atakuangalia siku izi??
Watu wanataka brawls wanataka jinonkwa jino toe to toe

Kama haaamini akamchek jamaa wa cuba anaitwa Guilermo Rigo ndo the best technical boxer in the world lakini watu hawataki kumuangalia....anapigana sweet science ya maana lakini bado sana kukubalika na audience ya America halafu ana gold mbili za olimpic.

Watu wanapenda ma brawlers kama kina tyson...
Maywether anaogopa kushindwa nataka astaafu akiwa 'undefeted'

Mkuu tatizo lako unaongelea hadithi za kusadikakika
Unaweza kumchukia May uwezavyo lakini huwezi kuubadilisha ukweli kwa madai yako yasio na kichwa wala miguu
Boxing is about to hit and to avoid to get it full stop hizo zingine ni majungu yenu

Kama hao akina Maidana mbona hawamshindi mtu mwenye about forties na wao bado vijana?
Maidai ya audience ya usa haitaki ngumi za kisyansi ni uongo, kunabondia gani dunia anauza ppv kama May?
The guy ana rock bana, watu wamesahau na heavy weight macho yote kwa May money
 
We chizi kweli ....Ngoja nimalize kula nikujibu
 
Tyson kamwambia Myweather hiviiiii ukitaka kukiita TBE fikia rekodi ya Chavez Jr....

Tatizo hamjui ngumi mnakuja kunishania ngumi kama huu ni mpira vile
Ndo mana nikasema hii post ni kwa hardcore boxing fans.

Rekodi ya chavez
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="align: left"]Total fights[/TH]
[TD]51[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Wins[/TH]
[TD]48[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Wins by KO[/TH]
[TD]32[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Losses[/TH]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Draws[/TH]
[TD]1[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Soon ataifikia 46 - 0 -0 -0
Amebakiza kushinda fight mbili afikishe 48 bila kupigwa wakati jr chevez ana lose moja na draw moja
 
Unamuongelea Chavez yupi??? Huyu mzembe ambaye anacheza middleweight?

Afu acha kunikopia na kupaste....unaenda gugo kukopi unakuja kupesti hapa ili uonekane unajua.
Kama hujui vunga.
 
Naamini tunaweza kuelezana bila kutimia lugha za kukwazana

Tatizo mnakariri kua Gayweather jr. ndo the best in the world km anavojisifu....na nyie casual fans mnameza bila kuchuja.

Jamaa anachagua watu wa kupigana nao ambao anajua fika anawapiga...hataki kupigana na Man Pac kwan analinda rekodi yake.

Wakina tyson, Ali, suger Ray hapa namuongelea suger ray robinson na sio ile baa iliyopo temeke sokota
Hao moja ya mabondia bora wakipigana bila kuogopa kupigwa ili kubakia undefeated...

Sasa sikia Khan mwezi sept hatapigana kisa ramadan....na kama hakutakua na rematch ya jana....next possible opponent ni dogo Keith Thurman...
Asipokalishwa na huyo dogo....naacha ngumi
 
Unamuongelea Chavez yupi??? Huyu mzembe ambaye anacheza middleweight?

Afu acha kunikopia na kupaste....unaenda gugo kukopi unakuja kupesti hapa ili uonekane unajua.
Kama hujui vunga.

Sikua na idea kama upo jinazi kiasi hicho, mi mwenzio goole ndio napatiaga taarifa na sina uwezo wa kukumbuka rekodi za mambondia wote hadi ni google. so am sorry for that mr jiniazi
BTW niliyemjibu alimkoti Chevez Jr ikabidi niingie chimbo kujua rekodi yake
 
Unamuongelea Chavez yupi??? Huyu mzembe ambaye anacheza middleweight?

Afu acha kunikopia na kupaste....unaenda gugo kukopi unakuja kupesti hapa ili uonekane unajua.
Sikua na idea kama upo jinazi kiasi hicho, mi mwenzio goole ndio napataiaga taarifa na sina uwezo wa kukumbuka rekodi za mambondia wote hadi ni google. so am sorry for that mr jiniazi
BTW niliyemjibu alimkoti Chevez Jr ikabidi niingie chimbo kujua rekodi yake

Dah, nyie ndo wale wale mnaangalia ngumi mkisikia mechi kama hizi kubwa kubwa,,sasa hamjui kinachoendelea katika ulimwengu huu.

Anyway Lennox Lewis, one of the greatest ..ni former world champ na boxing analyst kasema hiviiii
Score ya 117-111 alizopewa Floyd ni 'ridiculus'
Najua utabisha kwa kua una mapenzi binafsi floyd.....
Ukibisha na hii basi tena...Muhammad Ali kwenye twiter kasema hivyo hivyo...na kusema kua ili Floyd ajiidhiirishe kua ni the best ever apigane na Pacman...alisema tyson wakazarau sasa kasema Ali,
 
Sikua na idea kama upo jinazi kiasi hicho, mi mwenzio goole ndio napatiaga taarifa na sina uwezo wa kukumbuka rekodi za mambondia wote hadi ni google. so am sorry for that mr jiniazi
BTW niliyemjibu alimkoti Chevez Jr ikabidi niingie chimbo kujua rekodi yake

Afu ungekua unajua ngumi ungekua ushani correct hapo...niliitaka kusema chavez yule ambaye ni babake chavez jr yule ambaye pambano lake la mwisho alimpiga bryan vera kwa UD....
Chevez yule ambaye ni former WBC middleweight champ mkanda ambao aliupoteza kwa Sergio Martinez yule muargentina ambaye alikua fighter of the year 2011 ambaye mwaka huo huo alishinda Tuzo ya Ko of the year ile aliyompiga Paul Williams ambaye ali-paralize baada ya kupata ajali ya pikipiki. Namuongelea Paul Williams huyu ambaye mwaka jana amepewa tuzo maalum na BWAA (chama cha waaandishi wa ngumi America) inaitwa Courage in Overcoming Adversity...
Sasa turudi huyo muargentina Sergio Martinez mwezi ujao anapigana na Miguel Cotto yule ambaye jana tuuu Mayweather kwenye press conference alisema kua ni "tougher puncher" kutokana na ngumi kali alizopigwa mwaka 2012 walipofight.

Upo??? We unaangalia ngumi kufurahisha macho...wengine ngumi ni moja ya sehemu za maisha yetu.
 
Tatizo mnakariri kua Gayweather jr. ndo the best in the world km anavojisifu....na nyie casual fans mnameza bila kuchuja.

Jamaa anachagua watu wa kupigana nao ambao anajua fika anawapiga...hataki kupigana na Man Pac kwan analinda rekodi yake.

Wakina tyson, Ali, suger Ray hapa namuongelea suger ray robinson na sio ile baa iliyopo temeke sokota
Hao moja ya mabondia bora wakipigana bila kuogopa kupigwa ili kubakia undefeated...

Sasa sikia Khan mwezi sept hatapigana kisa ramadan....na kama hakutakua na rematch ya jana....next possible opponent ni dogo Keith Thurman...
Asipokalishwa na huyo dogo....naacha ngumi

Hili jina kwenye red inaonyesha wewe ni heters wa May Money. umelishwa kasumba na watu weupe ambao kimsingi ndio wameanzisha majungu yote kumpinga May Money lakini imeshindikana

Hoja zako nyepesi sana mkuu, kama anajichagulia washindani dhaifu inamaana Maidana ni dhaifu? Canero?
Msingi mkuu wa Pac na May kuto kupigana ni maslahi na kama kuogopana wote wanaogopana, maana kila mtu anakuja visingizio vyake ambavyo havina mashiko
Mfano Pac alikataa kupima eti anaogopa kuchomwa sindano

Maheters wa May money hamuwezi kujenga hoja ya anachofanya jukwaani zaidi ya propaganda, ooh anakimbia, ohhh majaji wananunuliwa, ohh anachagua opponents nk
 
Dah, nyie ndo wale wale mnaangalia ngumi mkisikia mechi kama hizi kubwa kubwa,,sasa hamjui kinachoendelea katika ulimwengu huu.

Anyway Lennox Lewis, one of the greatest ..ni former world champ na boxing analyst kasema hiviiii
Score ya 117-111 alizopewa Floyd ni 'ridiculus'
Najua utabisha kwa kua una mapenzi binafsi floyd.....
Ukibisha na hii basi tena...Muhammad Ali kwenye twiter kasema hivyo hivyo...na kusema kua ili Floyd ajiidhiirishe kua ni the best ever apigane na Pacman...alisema tyson wakazarau sasa kasema Ali,

Mkuu unaruka ruka sana hebu tuambie ina maana Maidana alitakiwa kushinda jana......kivipi?
Mwenzio Mayu Kadondoka na hoja zake vizuri with statics za pambano wewe unakimbilia opinions za watu
 
Last edited by a moderator:
Hili jina kwenye red inaonyesha wewe ni heters wa May Money. umelishwa kasumba na watu weupe ambao kimsingi ndio wameanzisha majungu yote kumpinga May Money lakini imeshindikana

Hoja zako nyepesi sana mkuu, kama anajichagulia washindani dhaifu inamaana Maidana ni dhaifu? Canero?
Msingi mkuu wa Pac na May kuto kupigana ni maslahi na kama kuogopana wote wanaogopana, maana kila mtu anakuja visingizio vyake ambavyo havina mashiko
Mfano Pac alikataa kupima eti anaogopa kuchomwa sindano

Maheters wa May money hamuwezi kujenga hoja ya anachofanya jukwaani zaidi ya propaganda, ooh anakimbia, ohhh majaji wananunuliwa, ohh anachagua opponents nk

Tumia akili kufikiri na sio naniihii
Mimi ni hardcore boxing fan...siangaliagi rangi na ndo mana
My favorite of all time ni Mike Iron...yupo Ali ni mweusi...yupo Suger Ray Robinson ni mweusi....
Na kwa sasa yupo black mwengine anaitwa Keith Thurman...

Wapo mafigher mablack nawakubali sana mfano wbo middleweight champ peter quilin....kuna wba superwelterweight champ mcuba huyu Erislandy Lara....kuna huyu dogo ana IBF welterweight title anaitwa Shawn Porter.. namkubali sana Tim Bradley andre ward chad dawson.....

Siangaliagi rangi mimi .
 
Back
Top Bottom