FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

Ingawa mpaka raundi ya mwisho jicho la Mayweather lilikuwa halioni vizuri ila amlishinda Maidana kwa points.
 
Mayweather kashinda fair kabisa!Maidana karusha ngumi kiholela sana lkn MayMoney karusha zilizo land vyema!MayMoney Team
 
mayweather anawadunda sana..

leo ushuzi mixer povu limemtoka...
Kakutana na mtu sugu sijapata kuona...
Bwamdogo alivyoingia ndo alivyotoka...hajachanika wala kutoka nundu, na muda wote maywether alikuwa anafuatwa...yaani kama kusingekuwa na kamba za kumzuia basi tungemtoa Lango la jiji mpk kingolwila.
 
Mayweather kashinda fair kabisa!Maidana karusha ngumi kiholela sana lkn MayMoney karusha zilizo land vyema!MayMoney Team

Ungekua unamjua Al Haymon ni nani usingesema kashinda vyema.
Tatizo nyie washabikk wa mpira mnadakia ngumi.
Ndo mana mwanzoni nikasema "hardcore boxing fans" wanaojua ngumi na siasa zake.

Sasa fanya hivi kaangalie Mayweather vs Castillo 1 then urudi useme
 
Mayweather "kashinda" ila kwa wanaoujua ngumi vizuri ile game ilikua draw, ila ngumi ina siasa zake
 
Kashinda lakini kwa mbeleko!!!! Mbeleko ipo katika kila mchezo. Maidana naye anatakiwa afanyie kazi pumzi!!

Maidana tatizo sio pumzi mdau, conditioning trainer wake ni Alex Ariza the best in the world, yule aliyekua anampa Pacquaio yale mapumzi ya kipindi kile.

Refer: Pacquiao vs Hatton kwa sample ya huyo Pacquiao
 
Kweli kabisa! Maidana akimudu pumzi basi. Kwa mchezo wa leo, Floyd atapata shida sana akipigana na Pac Man!

Japo Manny kachoka kwa sasa, lakini Floyd bado hatamuweZa.

Ila kuna kitu inaendelea kwnye boxing inaitwa "cold war" kati ya mapromota wawili wakubwa duniani, Golden Boy na Top Rank hawataki kufanya kazi pamoja...
Hivyo uwezekano wa Pacquiao kupigana na Mayweather ni sawa na kuongelea Tanzania kucheza World Cup wakati mpira hawajui japo wamewekeza mabilioni ya Kilimanjaro Lager
 
Ingawa mpaka raundi ya mwisho jicho la Mayweather lilikuwa halioni vizuri ila amlishinda Maidana kwa points.

unakumbuka mechi gani ya Floyd jr ambayo hadi anamaliza japo uliona damu yake.....anachana na jicho kutokuona.

Refer: Mayweather vs Cotto, alitoka damu kwnye nostrills (puani) il ya jana too much,
Maidana yupo vizuri.
 
unaambiwa damu zilitokana na kugongana vichwa
May anapigana ngumi za kisayansi anajaribu kuhakikisha anapiga tu na hapigwi
Watu bado wanataka mangumi ya kizamani toe to toe, mnapigana kama wanyama
 
unaambiwa damu zilitokana na kugongana vichwa
May anapigana ngumi za kisayansi anajaribu kuhakikisha anapiga tu na hapigwi
Watu bado wanataka mangumi ya kizamani toe to toe, mnapigana kama wanyama

Ni accidental headbutt sawa....
Unaonekana hujui ngumi wewe, tor to toe ndo staili inayotakiwa sasa ivi.

Maywether hana sayansi yoyote ile ukitaka sayansi kamcheki Mcuba anayeitwa GUILERMO RIGONDAEUX ama gold mbili za olimpic lakini........

Ngumi sio mpira wewe, watu wanataka burudani sio unapiga ngumi moja unakimbia kama.mayweather
 
Still undefeated, the money may

Tyson kamwambia Myweather hiviiiii ukitaka kukiita TBE fikia rekodi ya Chavez Jr....

Tatizo hamjui ngumi mnakuja kunishania ngumi kama huu ni mpira vile
Ndo mana nikasema hii post ni kwa hardcore boxing fans.
 
Back
Top Bottom