FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

FLOYD MAYWEATHER vs. MARCOS MAIDANA

pambano limeisha tusikilize mshindi...
 
Floyd jamaa ana Skills na Akili ya kupigana tatizo linakuja mi judge hater wanaweza kutizama anayemfata mwenziee sana wakampa Maidana.

majudge wana kazi sana hili pambano lilikuwa kali mkuu hakuna aliyeelemewa wala aliyyezidiwa sana lilibalnce
 
ee.PNG
 
Floyd mshindi


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
floyd the money mayweather is the winner
attachment.php
 

Attachments

  • Cature.PNG
    Cature.PNG
    109.6 KB · Views: 478
!
!
Yeah.........thats fantastic
Congrats floyd......
!
!
sasa naenda kujiunga na baba mwanaisha kuleee MMU
 
Floyd mayweather:if the fans wants to see a fight i can do it again...
Rematch possibility....
 
Floyd mayweather:if the fans wants to see a fight i can do it again...
Rematch possibility....
tutafsirie wengine sio wote tunajuwa hiyo Lugha ya Kifaransa hehe.
 
!
!
tangazeni jamani,loh!

kashinda mkuu floyd weather by majority decision ila nahisi kwa upande wangu maidana kashinda hii mechi na mwenyewe anaclaim kwamba kashinda ila inaonekana kwamba kutakuwa na rematch coz bondia wote wamekubaliana hilo so tusubiri lini itakuwa
 
Maidana gave Floyd the run for his money. Floyd had more power punches and better rate connection.
 
!
!
Yeah.........thats fantastic
Congrats floyd......
!
!
sasa naenda kujiunga na baba mwanaisha kuleee MMU
 
Back
Top Bottom