Floyd 'Money' Mayweather anunua cheni yenye thamani ya Tsh. Bilioni 2.3

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,267
5,367
Bondia amefanya hayo siku chache kabla ya pambano lake lisilo la ubingwa dhidi ya Aaron Chalmers, Februari 25, 2023 Nchini Uingereza ikiwa ni siku moja kabla ya kutimiza umri wa miaka 46.

Cheni hiyo ameinunua kwa Dola Milioni 1 ikiwa ni zaidi ya Tsh. Bilioni 2.3 ina uzito wa kilo 2.6 imeundwa na dhahabu pamoja na kunakshiwa na vipande 8500 vya Almasi.


================

Floyd Mayweather splashes out out $1million on white gold, 300 carat diamond chain ahead of Aaron Chalmers fight

FLOYD MAYWEATHER lived up to his 'Money' nickname as he splashed out on a lavish new chain.

The 45-year-old is set to fight Geordie Shore star Aaron Chalmers on February 25 at London's O2 Arena.

But before that, 'Money' splashed out on a glistening new piece of jewellery.

His latest piece was crafted by jewellery manufacturer Johnny Dang & Co, who showed off detailed shots of the chain while also handing it to the boxing legend.

The chain itself cost an eye-watering $1,000,000 (£825,000) to make.

A whopping 8,500 diamonds were used to create the chain.

This amounted to a total of 300 carats being used, with the retail price for a single diamond carat ranging from £1,600 ($2,000) to £14,000 ($16,000).

It also took 2.6kg of white gold to create it.

This splash out is the latest in a long line of lucrative purchases the American has made in recent years.

It comes after sensational claims from YouTuber-turned-boxer Jake Paul that: "Floyd is broke."

Source: The Sun
 
Hiyo 1 million dollar angekuja nayo bongo akaenda kwa "Saa100" ampe lile likipande la Tanzanite la Royotuwa, then aende Chuga apate almasi kwa USD laki moja,Kule Geita nako angeenda na dollars laki 4 angepata dhahabu nyingi

NB
Haya ni mawazo ya Masikini
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom