Huyu Khan nimpiganaji wa kudonoa uso si mtandika ngumi kwa nguvu sioni akipigana na Floyd kumpiga Floyd huyu Khan asahau labda anawania Pesa.
Money May ataretire undefeated. His skills are on another level.
ila naona ms. Jackson kamuumiza mtima heheheeee
Saiv si ndo sa1 ya Tanzania?
yap thats it mkuu na sasa hivi pambano ndo maandalizi yanaendelea zinapigwa nyimbo za taifa.
Tupia link hapa tuchek online mkuu
Hiyo kitu iko online pia?
Hata sijui aisee. Mi naangalia Showtime ppv hapa.
Maidana ndo anaingia. money may ataingia na justin beiber na lil Wayne.
Oya mnatuchanganya ipi tufuatilie kazika hizi ifuteni moja basi Thred ile nyengine wavute huku, huyu Khan asipotizama anapigwa hii Khan ni mpiganaji wa kudonoa donoa kupiga kwa nguvu hawezi na hatomuweza Floyd kabisa maybe kama anapigana kwajili ya Pesa na Floyd.
Hahahah namuona mayweather anaingia na wapambe wake pembeni lil wayne akiperform na upande mwingine namuona justin bieber wakiongozana
Inamaana mimi hujaniona hapo nyuma ya Mayweather?au wivu wako tu mkuu?ebu nitaje bhana!!Hahahah namuona mayweather anaingia na wapambe wake pembeni lil wayne akiperform na upande mwingine namuona justin bieber wakiongozana
!
!
ngapi ngapi