Flat screen zenye internal receiver

Flat screen zenye internal receiver

Kwa wanao jua bei ndogo kabisa ya smart TV ni sh ngapi kwa dsm bila kujali size na brand yake.
Pia flat ya nchi 32 inaweza kupatikana kwa sh ngapi minimum price kwa dsm.
 
mkuu ninayo no yako then acha kusema uongo wakati huna evidence ,inshort napata package ya ting yotee,napata continental yote na kuna channel zingine kama tv5 monde na kina tvm,cam zipo na nyingine kibao hazipo kwenye package za vingamuzi vya bongo ukitaka ntakutumia ushahid wa picha
[quote uid=334306 name="sansam100" post=14875364]Ndo nichokueleza najua vimeludi na ninafanyakazi hapo we ndo hujui chochote unadanganya watutu eti magaidi wamelipua wacha uongo[/QUOTE]<br />Ninaomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Je uko wapi?
Nipo Dar, mbezi naomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Mkuu hakuna maujanja hapo ni kweli autoscan tu huwa zinaingia zenyewe nilijaribu kuingiza frequency sikuona kitu but nimesoma sehemu kwamba zile tv za Samsung zenye hivo vingamuzi vimesetiwa kwenye satelite ya Amos 17e hyo ni kutoka kwenye web yao Samsung na ni special kwa Africa.

Ntajaribu kutumia dish nililolitega huko Amos nione je zitaongezeka??! Anyway now zipo 170 baada ya ting kuscramble package yao, nasubiri continental nao wascramble nione zitabaki ngapi pia ninapata channel za nje vizuri tu.

NOTE natumia antenna ya kawaida tu.
Mkuu nipo mbezi Dar,Ninaomba msaada kwa nini kwa sasa channel nilizokuwa naangalia kupitia continental hazionekani tena nikisearch zinaniambia no ci module inaishia kuandika mfano itv no ci module je naweza kufanya nini ili kuzipata upya hizo channel king'amuzi ni kile kilichoundwa moja kwa moja ni kuunga tu antenna na kusearch. Tafadhali Msaada wadau!
 
Kwa sasa channel zinapatika kwa wale tu wenye official decoder za kampuni husika.
Ni kweli kwa muda mrefu tulikuwa tukitazama kwa decoder yeyote ile ya MPEG4 kwa upande wa S2 na kwa kutumia antena ya kawaida kwa wale wenye T2 enable receiver kama iliyo katika tv yako.

Ahsantee mkuu kwa hiyo tunalazimika sasa kununua ving'amuzi hakuna namna yoyote ya kutumia hiyo internal receiver hata kama kwa kulipia kwenye hayo makampuni?
 
Back
Top Bottom