Flat screen zenye internal receiver

Flat screen zenye internal receiver

Hata hivyo sidhani kama utapata chanel za maana hasa za mpira, na huyo anayepata chanel 200 za bure aweke wazi anapata chanel zipi kama si uongo. Nakushauri nunua decoda yoyote mpg4 na dish lako basi utapata chanel za bure kibao
 
me nilinunua mlimani city mwaka jana mwanzon ilikuwa inauzwa laki tisa so sifahamu kama itakuwa imepungua,hiyo ya laki sita itakuwa magumashi aka mdosho

Mlimani City bei zao kubwa.. kuna duka wanauza vitu vyao bei nzuri na ni original. Mimi nilinunua 830 mwaka juzi. Ila sasa hivi ndo imefikia laki sita tena bei hii ni kwa ajili ya skukuu.
 
hiyo naona iko vzr ila hapo nafikiri inatakiwa kujipanga vzr kimfuko binamutz

ni kweli Mosiwakaya vizuri gharama nakushauri kabla hujanunua fanya research kwanza kwa kuangalia ubora, za hyo bidhaa na mahitaji yako kama upo dar nenda mlimani city kacheki kwanza
 
Last edited by a moderator:
Usikurupuke soma mjadala vizuri uelewe... Wapi pamezungumziwa Smart TV? Ameuliza kuhusu Flat Screen yenye internal receiver.

watu wengi wanashindwaga kujua maana ya smart tv nini.
 
Smart tv lk6 wapi wp? Mm Nahuatl inch 32 ni2,m

hahahaha siku hizi kuna soko huria.kuhusu kuuzwa kwa bei hyo ya laki sita sikatai coz nilishawahi ona mtu anaziuzaa but sio original ni fake zile za laki sita kioo cha screen ni cheupee tv ikiwa off while original ikiwa off kioo kinakuwa cheusi
 
tafuta samsung series 5 led au series 6 40 inches hutajuta mkuu ni burudani balaaa
 
Hata hivyo sidhani kama utapata chanel za maana hasa za mpira, na huyo anayepata chanel 200 za bure aweke wazi anapata chanel zipi kama si uongo. Nakushauri nunua decoda yoyote mpg4 na dish lako basi utapata chanel za bure kibao

mkuu ninayo no yako then acha kusema uongo wakati huna evidence ,inshort napata package ya ting yotee,napata continental yote na kuna channel zingine kama tv5 monde na kina tvm,cam zipo na nyingine kibao hazipo kwenye package za vingamuzi vya bongo ukitaka ntakutumia ushahid wa picha
 
mkuu je ikiwa inch 24 ufanisi utapungua? msweet

Kwa kweli sijaona kwamba ufanisi unapungua kwa Samsung ya inchi 32.

Mimi nitumia na iko fresh. Situmii kingamuzi napata channel karibu 40 natumia antena ya kawaida.

Bei ni kuanzia laki 8 na nusu mpaka laki 9. Laki 6 umedanganywa au labda ni brand nyingine na sio samsung.
 
mkuu ninayo no yako then acha kusema uongo wakati huna evidence ,inshort napata package ya ting yotee,napata continental yote na kuna channel zingine kama tv5 monde na kina tvm,cam zipo na nyingine kibao hazipo kwenye package za vingamuzi vya bongo ukitaka ntakutumia ushahid wa picha

pia hadi beinsports
 
Nimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira
 
Nimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira

yaah hapo me pia nimekuelewa.me mpira huwa nacheki tv monde,ait,fox sport 2 na beinsport but sio game zote zaonyeshwa ni kweli kama anapenda mpira atafute mpg4 yenye bisskey
 
yaah hapo me pia nimekuelewa.me mpira huwa nacheki tv monde,ait,fox sport 2 na beinsport but sio game zote zaonyeshwa ni kweli kama anapenda mpira atafute mpg4 yenye bisskey

iyo mpg4 ni kiasi gani kwa sasa???
 
Nawashukuru sana wote mlishiriki kutoa uzoefu wenu juu hili jambo nililo ombea ushauri..kwakweli mm sio mpenzi wa mpira nafikiri hz screen ztanifaa wasiwasi wangu ni kwamba mm nipo Tarime cjui kama itashika chennel nyingi.
 
iyo mpg4 ni kiasi gani kwa sasa???

zipo za kila aina but nzuri ni hizo zinazoedit key.zinazoedit key nikuanzia kilo na nusu na kuendelea na za kawaida ni kuanzia 70000 na kuendeleaa.mtafute njuva au mwl wakuelekeze
 
tarime sidhani mkuu but dar mambo safiii kabisa
 
Nawashukuru sana wote mlishiriki kutoa uzoefu wenu juu hili jambo nililo ombea ushauri..kwakweli mm sio mpenzi wa mpira nafikiri hz screen ztanifaa wasiwasi wangu ni kwamba mm nipo Tarime cjui kama itashika chennel nyingi.

Hata mimi nipo tarime kaka, tuwasiliane nikupe ushauri zaidi maana mimi ni satellite dish installer.
 
zipo za kila aina but nzuri ni hizo zinazoedit key.zinazoedit key nikuanzia kilo na nusu na kuendelea na za kawaida ni kuanzia 70000 na kuendeleaa.mtafute njuva au mwl wakuelekeze

iyo mpg4 ni kiasi gani kwa sasa???
  • Ndugu Big Baba
  • Pitia hii thread kuna aina nne za MPEG4 Full HD(1080) Receiver | Click HAPA ! |
  • Zitakazo kuwezesha kupata channel zaidi ya 600
  • Ikiwa ni mkusanyiko wa FTA channel Pamoja na PayTv channel
  • Kuna huyu mtaalam Ilisolokobwe atatoa ufafanuzi wa sat zipi ufungiwe kwenye dish la futi 6 ili ufutahie ulimwengu wa FTA tv ukiwa na channel zaidi ya 600
Rejea hizi Topic
1. Topic: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...amu-wa-kufunga-satellite-dishi-1-lnb-6-a.html
2. Topic: https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/274391-ulimwengu-wa-fta-satellite-tvs.html
 
Back
Top Bottom