Flat screen zenye internal receiver

Flat screen zenye internal receiver

Kibajajitz
Navyojua mm Amos 5 ni satellite ukishataja antenna hiyo ni Terrestrial mm situmii TV ila natumia FTA decoder ya Dreambox ina tundu la Terrestrial Antenna ila niki search zinakuja continental ndo nyingi ila nyingi ni scrambled ambazo ni FTA ni kama 10.
 
Last edited by a moderator:

Yaaah hiyo Amos ni satellite na ndivyo wanavyodai mwenyewe na terrestrial ni mawimbi kama haya ya kina startimes nakubaliana na wewe so sijajua wameset vipi ngoja nicheck link nikutumie ukajisomee mwenyewe mkuu
 
Mm nafikiri ni kitu cha kawaida Terrestrial TV nyingi ziko Free sana sana za Bongo...
Kama unapata zile za nje ambazo hata vingamuzi vya hapa kwetu havina basi hapo nakubaliana na wewe ni program ya samsung
68b5e088449cde014ba992c20b465ae0.jpg

0df11b0e0ce269f0aab57583918ce0f5.jpg
 
Mwl.RCT

Hivi DSTV ni 720p au 1080p au kuna kitu kingine hapo.
  • Decorder zipo za 1080p
  • Swala lipo kwenye Content inayoonyeshwa je iko kwenye ubora upi? 480p, 720p au ni 1080p
  • Nyingi ya channel za DSTV ni 720p , Chache za HD ndio 1080p.
  • Na hizi local channel katika DSTV hazijafikia hata ubora wa 720p
 
Mimi nina Hisense 32 inches. Ni smart Tv ina LED display na 3D vipi hii nayo inahivyo ving’amuzi vya bure ndani? Nitajuaje kama TV ina internal receiver?

Tafuta neno limeandikwa DTV kwenye ile Entet. Ukiona hilo neno basi fahamu Tv yako ina King'amuzi ndani.
 
Tafuta neno limeandikwa DTV kwenye ile Entet. Ukiona hilo neno basi fahamu Tv yako ina King'amuzi ndani.

Mkuu hilo neno DTV lipo huwa naliona lakini nilikuwa sijui maana yake. Naomba unipe maujanja ya namna ya kuitumia hiyo kitu mkuu.
 
me nilinunua mlimani city mwaka jana mwanzon ilikuwa inauzwa laki tisa so sifahamu kama itakuwa imepungua,hiyo ya laki sita itakuwa magumashi aka mdosho

nimenunua jana inchi 32 inakingamuzi laki sita kariakoo na waranti juu 2ys
 
nimenunua jana inchi 32 inakingamuzi laki sita kariakoo na waranti juu 2ys
Kariakoo duka gani mkuu, na ni genuine kweli? je na Smart ya size hiyo ni bei gani? ni model ipi mkuu, maana toleo la mwaka jana wamelipa H. Yaani inakuwa hivi kwa mfano, UA32H4100AK, AMA UA32H5500AR., F ni za 2013
 
Kwani kuna tofauti gani kubwa kati ya SERIES 4 NA SERIES 5. KWA WALE MLOWAHI KUTUMIA EMBU NIJUZENI, NINUNUE IPI KATI YA HIZI, ? 6K NA 9K KWA KILA
 
Kwa vijijini sifahamu mie natumia Samsung led tv inch 32 ipo vizuri sana ninachannel karibu 200 na ninatumia antena ya kawaida tu.

izo channel 200 ni za wapi na wapi, nchi gani yani, na antena ya kawaida ni kama hizi za startimes ama.
 
izo channel 200 ni za wapi na wapi, nchi gani yani, na antena ya kawaida ni kama hizi za startimes ama.

Mm nina samsung 24inch. Nimesearch na zimeingia 200+ kutoka ving'amuzi 5 vya hapa tz ila zinazoonesha ni chache.
Sana sana za digitek, ting, continental na baadhi kutoka easytv. Za startimes hazioneshi
 
vp za nje zinaonesha zote? na za nje ni tv gani na gani?
 
Ni zile zinazopatikana kwenye decoders za hapa TZ
 
Zinaingia zote, ila zinazoonesha ni zile za free tu. Continental, digitek na baadhi za easy tv
 
Back
Top Bottom