Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Bahati nzuri tupo naye hapa tarime hope nitamsaidia kwa mengi
Mi nimewaambia hiyo bei wanasema itakua fake
- SAMSUNG LED SERIES 4 utapata kwa tsh 600'000 /-
- Utapewa warrant ya miaka miwili (2)
Nimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira
mkuu Mwl.RCT naomba utufafanulie hapa hyo bei tunaomba maelezo yako kidogo au sisi tulionunua laki tisa na nane tumepigwa changa la macho??
Hata mimi nipo tarime kaka, tuwasiliane nikupe ushauri zaidi maana mimi ni satellite dish installer.
Kaka hakuna tv itakayoshika kwa antenna hapa tarime, labda citzen ya kenya tena shida., huku ni dish
Ni nn hyo mpg4 n bisskey?
- Ni bei sahihi si changa la macho
- Bei hiyo inaambatana na mambo mengi ikiwa ni pamoja na TRA,VAT vyote vinakuwa vimejumuishwa
- Kwa bei niliyotaja Haijumuishi hivyo vitu - Thats all.
Mkuu Mwl.RCT naomba msaada wako tafadhari.., nina flat inch 32 Sumsung lakin hzo chanel nmejaribu kusearch bila mafanikio., natumia antena ya Startimes je, yaweza kua sababu? au kuna card unaingiza kwanza?
Je uko wapi?
kwa vijijini sifahamu mie natumia Samsung led tv inch 32 ipo vizuri sana ninachannel karibu 200 na Ninatumia antena ya kawaida tu.