Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,073
poa mana kuna mdau hapo juu alisema anapata channel 200 na zinaonesha zoteZinaingia zote, ila zinazoonesha ni zile za free tu. Continental, digitek na baadhi za easy tv
poa mana kuna mdau hapo juu alisema anapata channel 200 na zinaonesha zoteZinaingia zote, ila zinazoonesha ni zile za free tu. Continental, digitek na baadhi za easy tv
Nimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira
Brand gani hiyo yenye Bisskey kaka ili tuitafuteNimekusoma kaka. Lakini kama ni mpenzi wa mpira tumshauri anunue mpg4 yenye bisskey na dish ili apate chanel kibao za mpira
Hiyo ilikuwa kitambo mkuu now zimepungua so wakiziachia napo zitaongezekapoa mana kuna mdau hapo juu alisema anapata channel 200 na zinaonesha zote
now unapata zipi? mana nataka ninunue ndo mana naulizaHiyo ilikuwa kitambo mkuu now zimepungua so wakiziachia napo zitaongezeka
Now zipo za continento zote kama sikosei easy tv chache na za mengi oooh na hawa agape sijui wanaitwajenow unapata zipi? mana nataka ninunue ndo mana nauliza
kama unaeza naomba list hasa ya tv za nje
asante
za nje jeNow zipo za continento zote kama sikosei easy tv chache na za mengi oooh na hawa agape sijui wanaitwaje
Kwani ye kasema anataka smart TV? hahaha...Smart tv lk6 wapi wp? Mm Nahuatl inch 32 ni2,m
Mi mbona chanel nazipata lkin zote hazionyeshiHiyo ilikuwa kitambo mkuu now zimepungua so wakiziachia napo zitaongezeka
Mkuu unaweza kuzitaja baadhi ya channels? Je unaweza kutumia hizi decoder kama startimes,digitek kwenye tv yenye internal receiver?Kwa kweli sijaona kwamba ufanisi unapungua kwa Samsung ya inchi 32.
Mimi nitumia na iko fresh. Situmii kingamuzi napata channel karibu 40 natumia antena ya kawaida.
Bei ni kuanzia laki 8 na nusu mpaka laki 9. Laki 6 umedanganywa au labda ni brand nyingine na sio samsung.
Mkuu unaweza kuzitaja baadhi ya channels? Je unaweza kutumia hizi decoder kama startimes,digitek kwenye tv yenye internal receiver?
Mi mbona chanel nazipata lkin zote hazionyeshi
mkuu bisskey sasa imepitwa na muda.sasa tupo ktk power vu hapo kuna chanel bora sana hasa za mpira na movie.rcv zenye power vu zipo kibao mfano hii hapa pichaniBrand gani hiyo yenye Bisskey kaka ili tuitafute
pia hadi beinsports
kaka hizo channels nyingine kama CAM( ya filam za kichina bara ni africa),dubai sports na bein sports zipo on air now baada ya kampuni inayouza receivers za easy tv Tanzania kuziachia kama FTA!.
Haya kaka sema now nipo mbali na tz beinsports wameziachia ngapi?
mkuu bisskey sasa imepitwa na muda.sasa tupo ktk power vu hapo kuna chanel bora sana hasa za mpira na movie.rcv zenye power vu zipo kibao mfano hii hapa pichani