First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

VC kama huyo kupitisha jambo kama hilo ana reflect chuo kisivyo na review process na due diligence checks.

Na hili linaonyesha ni kwa nini wengine tunaojali excellence tunasema UDSM katika standards za vyuo vya dunia ni chuo kisicho na standards.
Ooooh watakutusi Bure mkuu
 
Hapo kwenye 'e' mkuu Yaani uko sawa nilikuwa field breweries miezi 3 then wakaja hao wanachuo wajuaji ...Yaani wanajua kuelezea ..ila hawajui kazi some machines hawajawahi hata kuziona..tulikuwa na wanafunzi wa VETA ..wao walikuwa way perfect kuliko hata hao waliotoka UD
 
Tuambie na program gani inayotolewa UDSM ina ubora kuliko vyuo vingine, au kama hazipo pia tujulishe
 
Kwa bahati mbaya au nzuri kozi ninayosoma au niliyokuwa nataka kusoma ipo Ardhi pekee East Africa nzima.

Kwa hiyo sikuwahi kukifikiria hicho chuo mnachodangayika nacho.
Bro/sister hiyo kozi unayoenda kuisomea ardhi elewa mipango yote ya kuanzishwa na kufundishwa ni jopo la watu wa UD..hata administrators wa ardhi wanavaa nametag ya UD..NI kama kwenu kuna nyumba kubwa mzee akasema nyumba ya chini ijitegemee sasa ivi ndo ilivyo ardhi..
 
Niwakumbushe tu kuwa, enzi tunasoma hiyo Ardhi na Muhimbili yote ilikuwa UDSM na wanachuo walikuwa wanakaa pamoja na kujadili mustakabali wa nchi yao, hasa wakikutana Mabibo hostel na campus. Tujadili ubora wa vyuo vyetu kwa ujumla wake lakini si wa Mzumbe kujiona bora kuliko wa UDSM au wa Kairuki ni bora kuliko wa Muhimbili.
 
Vip kwa civil engineering mm nmechaguliwa must na udsm je unanishaur niend wap
hili nalo la kuomba ushauri. ..
Dogo usisikilize maneno ya humu ndani kuna ugonjwa unaitwa udsmphobia ndo unaowasumbua pamoja na huyo mleta mada wako. .
najua unajua unatakiwa u confirm chuo kipi.
huyo mleta mada mwenyewe na Ardhi yake workshop zote walikuwa wanafanyia ud .
 
Mkuu ulizo ziongelea hapo asilimia kubwa ni mpya bado product yake haijaonekana mtaani tusubiri tuione kisha ndo tujudge. Ni hayo tu
Ina maana Agriculture, Law,Architecture, Engineering, MD ni mpya?
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.

c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm

Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Mbona hiki chuo cha Udsm kinawatoa povu hivo? Mti wenye matunda................ndo........
 
Mkuu wewe utakuwa ni Anti-Udsm maana umetoa uzi ambao umenifanya nirudie mara nyingi ila hongera kwa opinion maana hukuleta fact
 
Acheni kubishania upuuzi ,hapa bongo hakuna chuo chenye 100% perfection Kila institution in a mapungufu n'a perfection Kwa vitivo tofauti ila what matters most ni kwa mfwanafunzi husika kustrive ku acquire extra skills apart from you are taught in the College's rooms .Mwisho was siku hakuna muajiri ambaye Yuko willing kuajiri " bogaz " no matter whatever institution you have graduated from .All that matters is your peculiar brilliance and potentials pertaining your proffesion that can impress employer to recruit you , nonetheless that comes with personal full commitment
 
Hicho chuo cha kawaida sana .

Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.

Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine

Mfano

a)MD.
Huwezi kufananisha MD inayotolewa Muhas au Cuhas au KCMC na hiyo Ud.

Lakini utakuta lijitu limbukeni kisa lipo udsm basi linajiona linajuwaaaa kumbe mavi matupu.

b)Architecture

Huwezi kumfananisha architect aliye graduate ardhi na aliye graduate udsm

Huyu wa ardhi anavitu vingi sana unique amemuacha mbali sana huyo wa udsm

Anajua kuchora kuanzia kwa mikono mpaka kwa PC

Humdanganyi chochote kuhusu mambo ya archcard na autocard sijui GIS na takataka nyingine zote.

c)Building Economy /quantity survey

QS wa udsm kamwe hamfikii hata kidogo QS wa Aru

Hata course anazosoma Qs wa aru Qs wa ud hajawahi kuzisoma hata mara moja.

d)Law.
Law inayotolewa mzumbe ni mara 3 kwa ubora kuliko ile ya udsm.

e)Engineering courses
Engineering courses especially mechanical engineering inayotolewa D.I.T inamuandaa mwanafunzi kivitendo zaidi kuliko ya udsm inayomuandaa kinadharia

f)education
Kozi za education zinazotolewa udom ni bora zaidi kuliko za udsm
Ila ukiwa limbukeni huwezi kutambua hili.

g)Agricultural courses
Kozi za kilimo zinazotolewa Sua ni mara tano kwa ubora kuliko za hapo udsm
Kwanza ni rahisi hata field zake kuliko zinazotolewa hapo udsm

Madogo acheni wenge hiyo udsm ni chuo cha kawaida sana ila kinabebwa na viongozi tu.
Hivi bado tambo za chuo zipo ..vijana someni ..mje muokoe taifa...kuna majanga kibao mtaani huku...
 
Vijana wa siku hizi bana mna taabu kweli. Ebu nendeni mkasome mahali mlipochaguliwa, tena mpambane kweli kweli.
Sasa hili povu lote la nn?
Nakumbuka kipindi tunasoma sisi Ardhi, Muhimbili vyote vilikuwa part ya UDSM. Watu wa Ardhi walikuja Coet kusoma baadhi ya kozi na kuchagia vifaa pia. Bachi ya kwanza kutoka Ardhi waliwahi kugomea vyeti vyao kuandikwa Ardhi University, Walitaka viwe na nembo ya UDSM.Sikumbuki sakata hilo liliishaje kipindi hicho. Waalimu wengi wa vyuo hivyo wanaofundisha wenye PHD au ma Prof wengi wametoka UDSM. Nina jamaa zangu wa Mining na Geology wanaofundisha UDOM 80% wote ni product za UDSM.
Haya upande wa Law school/School of Law wanaofundisha hapo unajua wametoka wapi?
Ubora wa chuo unaanza na wewe. Ukibweteka na jina la chuo itakula kwako.
Maandazi wewe.
 
Mtoa post Nimejua Unasoma Ardhi University [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom