First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

Wakuu habari zenu

Kuna Jambo linanisumbua nahitaji kueleweshwa

Hivi pesa ya SFR(Special faculty requirements) huwa inaingizwa kwa pamoja na ile pesa ya Booom?

Msaada wenu wajuvi
Kwa miaka yetu ilikuwa haingizwi pamoja na boom la kwanza so viongozi walikuwa watuma request then mwaka 2 ndo ilikuwa inatolewa na huwa inatofautiana kiwango kutoka programme moja kwenda nyingine.....
 
Bumu la kwanza huwa unapewa meals and accomodation pamoja na book and stationery ila special faculty huwa ni second semester ndo huwa inaanza kutolewa
 
In short vijana mpo na kaka yenu nimehitimu hapo 2017 progammme ya bsc chemistry na still nipo Dodoma na mishe mishe za town KWA MAGU AJIRA TABU ASIKUAMBIE MTU!! KAMA HUNA CONNECTION NI FULL KUSUFFER
 
Back
Top Bottom