P Accountant
JF-Expert Member
- Sep 26, 2020
- 371
- 182
Kimya hadi sasaWakuu second batch vipi?
Kimya hadi sasaWakuu second batch vipi?
Bachelor degreeNipo open University bacherol degree of poverty and struggling management.
Nashukuru mkuuMeals and accommodation
Books and stationery
Field Practical Training
Yaaah mkuu ...mungu mkubwaHauko pekeako kwenye hilo... Kitu cha kushukuru ni umepata MA
Nipo open University bacherol degree of poverty and struggling management.



...Mimi nafanya PHD ya hiyo hiyo Mkuu....Niko first year.
mkuu mm TIA main Campus Dar ..ww ya wapi?TIA orientation and registration week itakua kwa mda gn
December mwanzoniNimechaguliwa kujiunga rucu bachelor of law ,ila kuna swali moja je hela ya boom inakuja muda gani baada ya kufanya usajili
Dah alafu haya magroup ya chuo huwaga na madem wakali kinomaIfm wote tunakutana humu 2020![]()
Tuma link mpya ssaGuys nimeamua ku create group la first year la UDSM baada ya kuomba sana bila kupewa majibu yoyote. Karibuni tusaidiane mambo mbalimbali kama vile kujaza fomu na mambo mengine.join link ipo chini hapo
![]()
la kheri ya nini?Kila la kheri nyote...
Madogo mwaka huu Wana bahati mbaya ,bahati yao Ilikuwa Kipind wako Form Four 2018 Baada ya hapo ni tabu tubu ,Mkopo wamenyimwaHabari wakuu!
Niwapongeze wote waliochaguliwa vyuo mbalimbali Tanzania, You guys you have made it, Bingo!
Pia, niwape pole kwa waliokosa chuo, maisha ni safari na kila kitu kinasababu zake, tujifunze kushukuru kwa kila jambo.
Nimechaguliwa kusoma sheria, Chuo kikuu cha Dodoma, Namshukuru Mungu nikatimize ndoto.
Nawakaribisha wote humu, mkutane na watu mnaoendana kwa fani mlizochaguliwa, NETWORKING ni MUHIMU SANA.
Jitambulishe Chuo ulichochaguliwa na Course unayoenda kusoma.
Karibuni wote!
waje watutegemee tuwaoeMadogo mwaka huu Wana bahati mbaya ,bahati yao Ilikuwa Kipind wako Form Four 2018 Baada ya hapo ni tabu tubu ,Mkopo wamenyimwa
Ushajua kiasi unachotakiwa kulipa ulichokua unaulizala kheri ya nini?
waje tuwale mademu zao


