First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

Habari wakuu!

Niwapongeze wote waliochaguliwa vyuo mbalimbali Tanzania, You guys you have made it, Bingo!

Pia, niwape pole kwa waliokosa chuo, maisha ni safari na kila kitu kinasababu zake, tujifunze kushukuru kwa kila jambo.

Nimechaguliwa kusoma sheria, Chuo kikuu cha Dodoma, Namshukuru Mungu nikatimize ndoto.

Nawakaribisha wote humu, mkutane na watu mnaoendana kwa fani mlizochaguliwa, NETWORKING ni MUHIMU SANA.

Jitambulishe Chuo ulichochaguliwa na Course unayoenda kusoma.

Karibuni wote!
Tajeni na jinsia. Mimi ni Sponser.
 
Wadau, hv MTU akichguliwa chuo kimoja tu haitajiki kuconfirm.. Yaana TCU wanakuwa washamalizana na ww tayari..?
 
Hivi mwanafunzi akienda tarehe 16 UD halafu usajili unaanza tarehe 21 anaweza pewa chumba hostel kwa muda
Huwa wanapewa kule Hall 7 kama sikosei mnaenda kujiandikisha kwa USAB, ila kunguni kama wote na mnakuwa mixed na all genders

Ningeshauri uende usajili umeshaanza kuepuka usumbufu.
 
Back
Top Bottom