Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,953
- 14,525
SUAUlisoma wapi mkuu?
SUAUlisoma wapi mkuu?
Hongera mkuu!
Bcomm in AccountingHongera mkuu!
Course gani?
Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Yah ni classmate wangu ajaye
KaribuYah ni classmate wangu ajaye
Tunajuana Mkuu,
Asante sana.Karibu
[emoji23][emoji23][emoji23] Inapendeza mkuu!Tunajuana Mkuu,
Yah tunajuana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inapendeza mkuu!
Hakika zaidi Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Inapendeza mkuu!
Nime-attend lecture sana college yenu ( UDBS). Pa ukweli sana.Yah tunajuana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Acha masihara mkuuNime-attend lecture sana college yenu ( UDBS). Pa ukweli sana.
Kweli mkuu!Acha masihara mkuu
Ooooh okay basi vizuri[emoji848][emoji848][emoji848]Kweli mkuu!
Kwenye vipindi tulikuwa tunasoma venue tofauti kama Yombo, UDBS, LTRB, nk... Japo college yangu nilikuwa COSS.
Then i will be lucky to be there[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Venue nzuri kuliko zote ni UDBS,