First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Nafahamu moja tu hapo.

MA- Meals and Accommodation.

Zingine ngoja wajuvi waje
 
Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
vilefu vyake sivijui ila kuna hela ya field hapo, stationary na special faculty.. utaelewa ukifika chuo
 
Likewise, UDOM kuna wadau wangu wengi wanakuja hapo, sema watakuwa social science and humanities
Vizuri mkuu!

Nilikuwepo hapo UDSM miaka mitatu. Ningekufanyia orientation kabisa

Nakumbuka tulifungua zile hostel za magufuli, tukakumbana na expansion joints.

Kakaze buti mkuu, usiache kusomea pale "Mdegree".
 
Mdegree tapasomea tu. Ulikuwa Kozi gani hapo UD
 
Back
Top Bottom