Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
- Thread starter
- #101
Nilikuwa BA in Psychology. College of Social Science ( COSS)Mdegree tapasomea tu. Ulikuwa Kozi gani hapo UD
Nilikuwa BA in Psychology. College of Social Science ( COSS)Mdegree tapasomea tu. Ulikuwa Kozi gani hapo UD
Vizuri sana mkuu, ngoja nasie tukalianzishe hapo UDBSNilikuwa BA in Psychology. College of Social Science ( COSS)
Pamoja mkuu, All the best!Vizuri sana mkuu, ngoja nasie tukalianzishe hapo UDBS
Thanks a lot Mkuu.Pamoja mkuu, All the best!
Wakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Mkuu Najua umesoma ila ujajidharirisha kusema Hivi!! Kwani hao wa UD na Tumaini wanasoma vitu gani ambavyo wa OUT au UDOM hasomi!??9
Kwa Sheria soma UD au TUMAINI iIringa (University of Iringa).
#YNWA
Kajivutia kwake!Mkuu Najua umesoma ila ujajidharirisha kusema Hivi!! Kwani hao wa UD na Tumaini wanasoma vitu gani ambavyo wa OUT au UDOM hasomi!??
Ajira zote huwa wanatangaza Must have a degree from any recognized Institute or College Sasa sijawahi kuona mahali wansema Wanataka waliotoka UD na Tumaini tu!!!
BS ni book and stationery huwa ni 200kWakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
FTP hii inahusiana na pesa za fieldWakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
SFR hii ni special faculty blah blah hizi ni pesa maalum kwa programme maalumu sio wote wanufaikaji wanaipata mfano doctors wanapewa hii kwa ajili ya kununulia vifaa maalumu vya taaluma yake mfano zile lab coat, boots, mask, na mengineyooooWakuuu ....naomba mnisaidie maana ya maneno niliyo yakuta kwenye ,,allocation ya bodi ya mikopo
1 MA
2.BS
3.FTP
4.SFR
Watu wanaishi maisha ya kukariri tatizo halafu mtu unatakiwa kutambua mwisho wa siku uwezo wa mtu ndo utakufanya uishi mjini na sio kwa sababu umesoma sehemu fulaniMkuu Najua umesoma ila ujajidharirisha kusema Hivi!! Kwani hao wa UD na Tumaini wanasoma vitu gani ambavyo wa OUT au UDOM hasomi!??
Ajira zote huwa wanatangaza Must have a degree from any recognized Institute or College Sasa sijawahi kuona mahali wansema Wanataka waliotoka UD na Tumaini tu!!!
Ndio madhara ya kutofanya utafiti.Watu wanaishi maisha ya kukariri tatizo halafu mtu unatakiwa kutambua mwisho wa siku uwezo wa mtu ndo utakufanya uishi mjini na sio kwa sababu umesoma sehemu fulani

Ndio huwa inaingizwa boom la pili ambalo mara nyingi linatokaga mwez january, SFR huwa ni Tsh.200,000Wakuu habari zenu
Kuna Jambo linanisumbua nahitaji kueleweshwa
Hivi pesa ya SFR(Special faculty requirements) huwa inaingizwa kwa pamoja na ile pesa ya Booom?
Msaada wenu wajuvi![]()
Me nimepata 377,000 mkuuNdio huwa inaingizwa boom la pili ambalo mara nyingi linatokaga mwez january, SFR huwa ni Tsh.200,000
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Mkn mkuuSFR hii ni special faculty blah blah hizi ni pesa maalum kwa programme maalumu sio wote wanufaikaji wanaipata mfano doctors wanapewa hii kwa ajili ya kununulia vifaa maalumu vya taaluma yake mfano zile lab coat, boots, mask, na mengineyoooo
Nmekupata mkuu1.MA means Meals & Accommodation
2. Books& Stationery
3. Field Training Practice
4. Special Faculty Requirements
NB kwa wanaofanya Research pia inaandikwa kiviake...
Ila kozi nyingi undergraduate hakuna research labda kwa special needs Education
Study hard