jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,521
Ndugu yangu Jmushi1'
Nakubaliana nawe kwa mambo mengi tu lakini naomba nikuulize swali moja tu- katika maswali yako yote uki'substitute' neno waingereza ukaweka akina Mugabe na wanavyokula na kusaza huku wananchi wao wakilala njaa, je, hii inakubalika?
Naomba nikupe mfano wa nchi yako mwenyewe. Tanzanite is the "new kid on the block" of the gemstone kingdom. Tanzanite iligundulika karibu miaka saba baada ya sisi kupata uhuru na miaka michache baadaye ikawa 'craze' ya dunia. Tanzanite haipatikani popote kwingine dunuani isipokuwa kenye vilima vya Mererani, Tanzania na ndiyo ikapewa jina hilo.
Kiwanda kikubwa sana duniani chenye wafanyakazi zaidi ya 700 kinachofanya biashara ya bidhaa zinazotokana na Tanzanite kiko India.
Kuna ndugu yangu moja karibu alie machozi alipokuta tangazo kwenye nchi moja ya Ulaya ikisema - Ukitaka kuona Kilimanjaro, visit Kenya.
Nchi jirani ya Rwanda ambayo haina mbuga za wanyama biashara kama ya tembo za ndovu zinawaingizia mipesa kibao.
Kwa kujibu swali lako na mimi nasema, nani aitetee Tanzania na hizi dhulma za India, Kenya, Rwanda, Uingereza, Marekani etc. Does this make any sense to you. The truth is tunajitafuna wenyewe halafu tunabaki tunalialia. Je, nchi kama Singapore zisizo na resources kama zetu hazikuwa koloni vilevile. UFISADI wa sisi kwa sisi ndio utatumaliza.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa!
Ila....SISI kuwa na matatizo hakutufanyi TUAMINI kuwa Bush na Blair wana nia nzuri na AFRIKA!
Nimeuliza maswali mengi ya muhimu lakini mnakwepa kwepa!
KUNA WATU WANGAPI AFRIKA AMBAO HAWANA ARDHI?
CHAKULA? ELIMU, MATIBABU?
Wangapi wanakufa kila siku AFRIKA?
WHO CARES?
Kama si MKABURU aliyeporwa mashamba...Then tungewasikia Bush NA BLAIR?
DARFUR Sudan wameporwa nini na wanafanywa nini?
Saddam Hussein aliyetekeleza sera zao za mauwaji....Nani mbaya?
Tsivangirai apewe silaha za kuwaangamiza wazimbabwe wasio na hatia simply because makaburu hao sasa ni kweli wana huruma na AFRIKA?
Kwanini ZIMBABWE?
NANI KAIFANYIA MUFLISI AFRIKA?
Kwanini walitupa dini peke yake na bila elimu ya kutufanya tuweze kuondokana na UMASIKINI?
Je...Tuendelee kuomba MUNGU TU na huku wakirudi UPYA AFRIKA?
Kweli MKUU TSIVANGIRAI AANZE KUUWA KWA AMRI ZA MAKABURU KWASABABU SASA WANATUPENDA SANA?
KWELI HUH?
NB:Kweli kama MUGABE ANGEKUWA MBAYA KAMA MNAVYOTAKA TUAMINI..THEN ANGESHINDWA VIPI KU KISS KICHAKA'S ASS JUST LIKE OUR PRESIDENT DID?
Hata kama mnasema kawagawia mashamba marafiki zake baada ya kuwapora makaburu...Je unataka tuamini kuwa alishindwa kuwagawia na wazungu ili wamlinde?
Hivi unadhani MUGABE HAONI MBALI?
NYIE WAACHENI WAZALENDO WA KWELI!
MAANA WATU WENGINE WENYE MAWAZO TOFAUTI NA YA MUGABE WASINGEWEZA KUWAPATIA WAZIMBAWE UHURU!
THE GUY IS DEFIANT KWANI KESHAWACHEZESHA SANA!
WAZUNGU OFCOURSE WANARUDI UPYA KUGAWANA AFRIKA...
JE TUFANYEJE?
TUWASIKILIZE NA KUPOKEA SILAHA ZAO?
WAENDE WAO WENYEWE WAKAMTOE HUKO NA SI KUTUPIGANISHA!
Kama wana nia nzuri...KWANINI MASHAMBA HAYO WANALIMA VYAKULA KIBAO NA SISI TUNAKUFA NJAA?
KWANINI WA EXPORT VYAKULA NA KURUDI KUJIDAI WANATUPA MSAADA WA CHAKULA?
KWANINI WACHOTE RASILIMALI ZETU NA KUTUACHIA UFUKARA?
MADINI YETU SI KWAMBA TUNAUZA....TUNATOA BURE!
TUNASAFIRISHA MCHANGA NA HATUJUI THAMANI YAKE!
KAMA NI WATU WEMA NA WALIITAWALA HII AFRIKA...THEN WAPI MAENDELEO?
Tuna EXPORT RAW MATERIALS NA KUUZIWA MITUMBA NA VYAKULA VIBOVU SAMBAMBA NA MADAWA...NIA NZURI HUH?