Hili ni vema likajadiliwa kisiasa, WaEthiopia wamenunua ndege ya kisasa kabisa nje ya Japan na ya kwanza ya aina yake Africa, unaajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro, huwezi kuamini dlegetion ya viongozi na media from all over the world: Angalia hapa:
BBC News - Ethiopia gets first Boeing 787 Dreamliner in Africa
Air Tanzania itanunua lini ndege zake used maana TZ tunaongoza kwa Mitumba! I am not proud of this, but it worth saying.
Is this true of the carrier price:The aircraft are supposed to cost $200m each but correspondents say airlines rarely pay this price, especially for bulk orders. Kama ni bei hii 200 m US$ mbona hatushindwi? au ni 200 bn US$?
Maskini nchi yangu Tanzania tumefikia hatua ya kusifia siyo kwa kununua ndege mpya bali kwa kutua kwenye uwanja wetu!!!!!! Lini tutanunua yetu.
Hata hivyo, naomba nimfahamishe Mleta Uzi kwamba Rais Paul Kagame anazo mbili Boeing 787 Deamliner mpya na anasubiri ya tatu. Zote zinatumiwa na Rwandair. Sisi tutaendelea kununua mitumba ya Forker za piston engine na Beoing 737-200 zilizoundwa miaka ya 70 iliyoshindikana kwa wenzetu.
Kama precision air ya watu binafsi inajipeleka serikali itashindwaje? NIWAKUMBUSHE KUWA shirika la ndege ni alama ya taifa..watalii wanajaa ethiopia na kenya kutokana na maajabu ya mashirika hayo..mwakyembe umeshindwa?
Serikali yetu inaongoza kwa kuomba wawekezaji: hata kwenye infrastructure kama viwanja vya ndege, barabara na madaraja, jambo ambalo ni jukumu la kwanza la serikali yoyote duniani!Ethopia Airline inamilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja
Kama precision air ya watu binafsi inajipeleka serikali itashindwaje? NIWAKUMBUSHE KUWA shirika la ndege ni alama ya taifa..watalii wanajaa ethiopia na kenya kutokana na maajabu ya mashirika hayo..mwakyembe umeshindwa?
Serikali yetu inaongoza kwa kuomba wawekezaji: hata kwenye infrastructure kama viwanja vya ndege, barabara na madaraja, jambo ambalo ni jukumu la kwanza la serikali yoyote duniani!
Kumbuka, badhi ya wana hisa wa PECISION AIR, yule bwana mfupi, ndio mmoja wa watu walioua AIR Tanzania makusudi na deliberately in favor of precision!
Hizo ni kwa matumizi binafsi au kwa ajili ya Rwandair?
Kama ni Rwandair hawana hizo link rwandair.com | Our Fleet
na hizi ziko njiani rwandair.com | RwandAir makes a firm order for two Bombardier CRJ900 NextGen aircraft
Thnx for correction because it is clearly said, it is only two countries who owns Boeing 787 Dreamliner ET, and only the first in Africa.
It was reported, Ethiopia Airline has ordered 10 of them for thier airline which is an incredible achievement.
Tuwasifie kwa kweli wanafanya vizuri na tena kwa miaka mingi kitu ambacho mashirika mengi ya ndege yameshindwa.
Inatakiwa tuwe na shirika linalopeperusha bendera ya Taifa lililo imara na lishindane na mashirika binafsi kama precisionair. Mimi nawapongeza precision kwa kutumia udhaifu wa serikali yetu na kujiimarisha na sasa ni moja ya mashirika imara sana kushinda mashirika ya nchi kibao za afrika. Kumbuka precision ndo shirika la ndege lenye youngest planes fleet in Africa.Kama precision air ya watu binafsi inajipeleka serikali itashindwaje? NIWAKUMBUSHE KUWA shirika la ndege ni alama ya taifa..watalii wanajaa ethiopia na kenya kutokana na maajabu ya mashirika hayo..mwakyembe umeshindwa?