First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

Tulikubaliana tukutane bar ya uswahilini.Akaja tumepiga stori kula vyombo ,akaniambia unajua Leo nimekuja sijavaa chupi? Nikamjibu ndio napenda ,ndio naona raha.Kila akienda kukojoa uchochoroni nimemshika mkono namsimamia,manyang'au yasije yakakimbia na mwali wangu.Peleka gheto nikamchumisha matembele dirisha wazi litaa linawaka.Bahati yangu majirani wenzangu simu za kuzoom ilikuwa mtihani kipindi hicho.
Ndimi,
Mwalimu wa muziki na mapenzi.
 
Mlikutana mabazazi wote hata kinga hamkutumia itakuwa😅😅
 
First date nilipelekwa beach fulani kaliiii hapa Dar
Ilikuwa usiku

Shida ya yule kijana ni mafua, sijui ana allergy ya upepo wa bahari yule
Alikuwa na mafua mixer chafya za kutosha kiasi kwamba hisia zangu zikapotea kwa zile chafya

Enwei, nilipiga chini usiku ule ule
Hahaha hauna huruma kabisa😂
 
Back
Top Bottom