Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Dennis_

Senior Member
Apr 4, 2022
127
210
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua

Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkombozi kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni/kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake

The positive things Sina kinyogo au chuki dhidi ya wanawake kabisa hadi wale walionikataa, Maisha haya ni mafupi na kamwe huwezi nikuta nikiwaponda wanawake naheshimu maamuzi yao hata kama mimi sikuyapenda

Gharama nilizotumia ni million 70 zinajumuisha gharama za hospital, kumlipa mwanasheria, kumlipa surrogate mother na kununua Yai la kike

Lengo la uzi halina maana ya kujikweza kwamba ni tajiri hapana, kutumia million 70 kwenye surrogate haina maana kwamba ni tajiri ni mpambanaji wa kawaida hata wakiambiwa matajiri watoke siwez toka, na mwisho lengo la uzi halina maana ya kutafuta wanawake nimeshaire na nyie sababu hii ni forum
 
Wanawake wote hawa mkuu,ina maana hakuna aliyekukubali kabisa? Au ulitaka Tu huo mpango
Inawezekana mzee. Kuna ile unakua na vigezo flani hivi vya mwanamke unaetaka kua nae, bahati mbaya kila mwenye hivyo vigezo ukijitahidi kumtongoza na kuonyesha nia ya dhati ya kua nae unaambulia vibuti... Halafu wale ambao huna mzuka nao ndio wanakushobokea hatari.

Hakuna raha kama kuingia katika ndoa na mtu wa ndoto zako. Inaleta utulivu flani hivi wa nafsi. Bahati mbaya ni wachache hupata bahati hiyo! Majority hujikuta anafanya maisha na mtu ambae hata hakua ktk fantasy zake. Ndio hao mwisho wa siku unakuta wapo kwenye ndoa lkn kutwa wanahangaika na ma X!
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu
Maelezo yako yamejitosheleza sana
 
Huu uzi wanawake wote wanapaswa kuja kuusoma na kujifunza kitu. Maana wamezidi kuringa na sasa ndiyo kabisaa wamegeuza mapenzi kama eti ni kitega uchumi. Umemmiss uunataka kwenda kumwona mara anakwambia umwendee na elfu ishirini ya kusuka, mara hela sijui ya lotion. So tired,.. bora kutafuta tu surrogate maisha yaendelee
 
Inawezekana mzee. Kuna ile unakua na vigezo flani hivi vya mwanamke unaetaka kua nae, bahati mbaya kila mwenye hivyo vigezo ukijitahidi kumtongoza na kuonyesha nia ya dhati ya kua nae unaambulia vibuti... Halafu wale ambao huna mzuka nao ndio wanakushobokea hatari.

Hakuna raha kama kuingia katika ndoa na mtu wa ndoto zako. Inaleta utulivu flani hivi wa nafsi. Bahati mbaya ni wachache hupata bahati hiyo! Majority hujikuta anafanya maisha na mtu ambae hata hakua ktk fantasy zake. Ndio hao mwisho wa siku unakuta wapo kwenye ndoa lkn kutwa wanahangaika na ma X!
Swala la vigezo nilishaliweka pembeni lakin still mambo yakawa magumu kwenye maisha tunaweza lazimishwa kutafuta ela tukafanikiwa lakin sio kwenye mapenzi Yale hayalazimishwi msingi wake umejengwa kwenye hisia
 
Huu uzi wanawake wote wanapaswa kuja kuusoma na kujifunza kitu. Maana wamezidi kuringa na sasa ndiyo kabisaa wamegeuza mapenzi kama eti ni kitega uchumi. Umemmiss uunataka kwenda kumwona mara anakwambia umwendee na elfu ishirini ya kusuka, mara hela sijui ya lotion. So tired,.. bora kutafuta tu surrogate maisha yaendelee
Hata wanaume nao wasome wengi hawana uwezo wakutungisha mimba, sasa niwao kwenda na wake zao kufanya hii kitu kuliko mwanamke kuchepuka na mbaba baadaye anaanza kumzengea mwanaye
 
Baada ya vibuti na kukataliwa na wanawake wengi finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndo hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone

Surrogate ni mkomboz kwa sisi wanaume ambao tuna damu za kunguni a.k.a za kukataliwa na wanawake
Ooh jamani!!! mbona tusioringa tupo tumejaa tele, njoo nikusaidie kulea mkuu ikiwezekana tuongeze mapacha wengine
 
Back
Top Bottom