Ushoga na uraibu wa madawa ya kulevya kwa watoto 2000s ni ( karma)mokeo ya laana ya wazee wa miaka ya 60,50,40s kwa kizazi cha miaka ya 70,80 na 90s

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,115
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40.

Wazazi wenu walikuwa wana waambia.

1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi mkawa mnawaona mafala mkawa mnavuta tu. Wazazi wenu walikuwa wanapatwa na uchungu sana.

Ule uchungu wa wazazi wenu umekuja kuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu wa 90 mwishoni na 2000s.

BORA HATA WANGEVUTA BANGI KAMA NYIE. WAO WANAVUTA COCAINE.

2. Wazazi wenu walikuwa wana waambia jamani acheni kusikiliza " Rap" ni muziki wa wahuni. Nyie mkawa mnaimba hadi kuimba. Wazazi wenu hawakupendezwa.

Now watoto wenu wanasikiliza amapiano na singeli nyimbo zinazo promote ushoga utumiaji wa dawa za kulevya ufuska na.mmomonyoko wa maadili kwa ujumla.

3. Wanawake mlikuwa mnaambiwa msivae suruali wala nguo fupi ila mkawa wakaidi. Mkawa mnaambiwa jitunzeni muolewe mkiwa mabikira nyinyi mkawa wakaidi. Wazazi wenu waliumia sana. Yale machozi yao yamekuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu.

Binti zenu wanaanza kuingiliwa kinyume wakiwa darasa la tano. Wanaanza kusagana wakiwa na miaka 12..Na watoto wenu wa kiume wanaingiliwa kinyume na maumbile ili muuone vizuri uchungu walio kuwa wanaupata wazazi wenu.

4. Wanaume mlikuwa mnaambiwa acheni kutembea na watoto wa watu ( wanafunzi) mna waharibia masomo mnawapa mimba ( Tena kipindi hicho hakunaga hata sheria ya maana dhidi ya watu wanao tembea na wanafunzi. Sheria ya maana imekuwa enacted mwaka 1998 /SOSPA)

Ila nyie mkawa wakaidi mkawa mna wajaza tu mimba watoto wa watu.

Malipo yake sasa ( MLIFIKIRI NI WATOTO WENU WA KIKE NDO WATAKUWA WANAZALISHWA KAMA MLIVYO KUWA MNAWAZALISHA WATOTO WA WATU..
.HE'LL NO! KARMA HUWAGA HAIPO HIVYO. KARMA HUWAGA INAKUJA MARA TATU)

Badala ya watoto wenu wa kike kuzalishwa ovyo, watoto wenu wa kiume.ndio wanageuzwa na kufanywa kuwa wanawake ili muumie vizuri kama.walivyo umia wazazi wa watoto mliokuwa mna waharibu.

SULUHISHO:
Ifanyike ibada ya kitaifa nchi nzima kwa vijana mliozaliwa miaka ya 80na 70 kuwoamba radhi wazazi wenu ( wawe hai wasiwe hai ) kwa makosa mliyo wafanyia mlipokuwa vijana ili kukinusuru kizazi chenu cha miaka.ya elfu mbili.

Au fanya zoezi hilo wewe kama wewe. Fanya ibada au tambiko maalumu kwa ajili hiyo.

Inaweza kuleta matokeo chanya...

2. Kubali matokeo na jifunze namna ya kuishi nayo.

3. Pombe au

4. Rudi kupiga ganja ulizo kuwa unapiga kipindi hicho baba ako na mama ako wana kukataza. Ganja zita ifanya mind yako iwe ina escape the problem through imagination.

NA KWA NYINYI VIJANA MLIO ZALIWA MIAKA YA ELFU 2...

Karma yenu itakuwa ni kwa watoto wenu pia. Wao watakuwa wanauana sana kwa risasi mapanga visu etc. Watakuwa too much violent. Violence itatawala. ( mtatamani bora wawe mashoga na.wasagaji tu kama.nyinyi ila wasiwe violent but haitakuwa hivyo)

Watakuwa wanauana hata kwa very petty issues .

Kutakuwa na magenge ya uhalifu ambayo wengi wao watakuwa ni members.( thw whole society will.be gang infected and a lot of kids shall be crackheads)

Wengi wao watakuwa devil worshipers.

SULUHISHO KWAKO WEWE KIJANA WA MIAKA YA 2000 NA JIRANI ZENU WA 99.

1. Acha ushoga. Ukiacha ushoga,Karma haitakuhusu
 
Kwa hiyo kizazi cha 70s na 80s ambacho watoto wao ni late 90s na 2000s wao watakuwaje? Au ndio wala cocaine na wafirwaji? God have mercy on our offsprings.
 
Kwa hiyo kizazi cha 70s na 69s ambacho watoto wao ni late 90s na 2000s wao watakuwaje? Au ndio wala cocaine na wafirwaji? God have mercy on our offsprings.

Kizazi cha watoto ha hawa waliozaliwa 2000s watakuwa wanapigana sana risasi
 
Mkuu ulisema Yanga akifungwa na mwarabu hautatumia tena JF, but here you are, huon kama umepoteza sifa ya kuaminika kwa yote usemayo??
Mkuu kwenye kila thread yangu lazima upost hii comment. Are u sure ur not sick? Anyways kama uwepo wangu Jf una kukera una onaje ukaniweka kwenye ignore list ili usiwe unaona posts zangu?

U guy need to worship the ground am walking cause u blv everything that I say.

Haya sasa nakupa hii nyingine " Go and tell your father that I Likud of Jf has said that tommorrow he will die and on the day or his burial there will be be a very heavy rainfall"

Asipo kufa njoo uniambie nijitoe JF
 
Nilipoteza baba yangu mwaka 1998 mkuu.
😂😂😂😂.
You are truelly useless and not worthy believing

Aliekufa mwaka 98 sio baba ako mzazi...

Umejiona ulivyo kuwa kilaza? Bado unataka kushindana na Mimi?

Siku mtaja mama ako kwa makusudi kwa sababu nilijua utakuja na hii hoja
 
Sasa nilizika nani chief.. maana 98 maza kaanza, dingi kafuata. Usinambie tulipigwa!?
 
KARMA HUWAGA HAIPO HIVYO. KARMA HUWAGA INAKUJA MARA TATU)
Hii huwa inatumika ama Ina apply tu afrika ama dunia nzima. Sijaona matokeo ya wazungu na waarabu walichowafanyia waafrika mpaka Leo hii wanatuibia kkwa miktaba ya udanganyifu na utapeli. Naomba tujikite tu kwa kauli yako hiyo tafadhali.
Naona wazungu wanazidi kustawi na afrika inazidi kudumaa so hii kauli yako ya karma mbona haionekani
 
1. Cancer
2.Drug addicts
 
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40.

Wazazi wenu walikuwa wana waambia.

1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi mkawa mnawaona mafala mkawa mnavuta tu. Wazazi wenu walikuwa wanapatwa na uchungu sana.

Ule uchungu wa wazazi wenu umekuja kuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu wa 90 mwishoni na 2000s.

BORA HATA WANGEVUTA BANGI KAMA NYIE. WAO WANAVUTA COCAINE.

2. Wazazi wenu walikuwa wana waambia jamani acheni kusikiliza " Rap" ni muziki wa wahuni. Nyie mkawa mnaimba hadi kuimba. Wazazi wenu hawakupendezwa.

Now watoto wenu wanasikiliza amapiano na singeli nyimbo zinazo promote ushoga utumiaji wa dawa za kulevya ufuska na.mmomonyoko wa maadili kwa ujumla.

3. Wanawake mlikuwa mnaambiwa msivae suruali wala nguo fupi ila mkawa wakaidi. Mkawa mnaambiwa jitunzeni muolewe mkiwa mabikira nyinyi mkawa wakaidi. Wazazi wenu waliumia sana. Yale machozi yao yamekuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu.

Binti zenu wanaanza kuingiliwa kinyume wakiwa darasa la tano. Wanaanza kusagana wakiwa na miaka 12..Na watoto wenu wa kiume wanaingiliwa kinyume na maumbile ili muuone vizuri uchungu walio kuwa wanaupata wazazi wenu.

4. Wanaume mlikuwa mnaambiwa acheni kutembea na watoto wa watu ( wanafunzi) mna waharibia masomo mnawapa mimba ( Tena kipindi hicho hakunaga hata sheria ya maana dhidi ya watu wanao tembea na wanafunzi. Sheria ya maana imekuwa enacted mwaka 1998 /SOSPA)

Ila nyie mkawa wakaidi mkawa mna wajaza tu mimba watoto wa watu.

Malipo yake sasa ( MLIFIKIRI NI WATOTO WENU WA KIKE NDO WATAKUWA WANAZALISHWA KAMA MLIVYO KUWA MNAWAZALISHA WATOTO WA WATU..
.HE'LL NO! KARMA HUWAGA HAIPO HIVYO. KARMA HUWAGA INAKUJA MARA TATU)

Badala ya watoto wenu wa kike kuzalishwa ovyo, watoto wenu wa kiume.ndio wanageuzwa na kufanywa kuwa wanawake ili muumie vizuri kama.walivyo umia wazazi wa watoto mliokuwa mna waharibu.

SULUHISHO:
Ifanyike ibada ya kitaifa nchi nzima kwa vijana mliozaliwa miaka ya 80na 70 kuwoamba radhi wazazi wenu ( wawe hai wasiwe hai ) kwa makosa mliyo wafanyia mlipokuwa vijana ili kukinusuru kizazi chenu cha miaka.ya elfu mbili.

Au fanya zoezi hilo wewe kama wewe. Fanya ibada au tambiko maalumu kwa ajili hiyo.

Inaweza kuleta matokeo chanya...

2. Kubali matokeo na jifunze namna ya kuishi nayo.

3. Pombe au

4. Rudi kupiga ganja ulizo kuwa unapiga kipindi hicho baba ako na mama ako wana kukataza. Ganja zita ifanya mind yako iwe ina escape the problem through imagination.

NA KWA NYINYI VIJANA MLIO ZALIWA MIAKA YA ELFU 2...

Karma yenu itakuwa ni kwa watoto wenu pia. Wao watakuwa wanauana sana kwa risasi mapanga visu etc. Watakuwa too much violent. Violence itatawala. ( mtatamani bora wawe mashoga na.wasagaji tu kama.nyinyi ila wasiwe violent but haitakuwa hivyo)

Watakuwa wanauana hata kwa very petty issues .

Kutakuwa na magenge ya uhalifu ambayo wengi wao watakuwa ni members.( thw whole society will.be gang infected and a lot of kids shall be crackheads)

Wengi wao watakuwa devil worshipers.

SULUHISHO KWAKO WEWE KIJANA WA MIAKA YA 2000 NA JIRANI ZENU WA 99.

1. Acha ushoga. Ukiacha ushoga,Karma haitakuhusu
HUU UZI ULIOLETA NANI KAKUPA RUHUSA JE MZEE KIKWETE NA RIZIWANI WAMEKURUHUSU KUPOST HUU UZI?
 
nilikua napiga stori na mdada flani alikuwa anatumia huo unga
nikamuuliza, je ni raha kiasi gani uki-snort hiyo kitu ?
akajibu: "Raha ni mara 10000 ya kupigwa mbupu nikiwa wet"
ilikuwa mwaka 2017, sijui ana hali gani mda huu
 
Mkuu nenda katubu dhambi zako sasa wacha kushupaza Shingo. Shauri yako.
 
nilikua napiga stori na mdada flani alikuwa anatumia huo unga
nikamuuliza, je ni raha kiasi gani uki-snort hiyo kitu ?
akajibu: "Raha ni mara 10000 ya kupigwa mbupu nikiwa wet"
ilikuwa mwaka 2017, sijui ana hali gani mda huu
Inasikitisha
 
Hasa kizazi cha miaka.ya 70 na 80s ambao wengi wazazi wenu walizaliwa miaka ya 60 mwanzoni hadi kati kati, 50 na 40.

Wazazi wenu walikuwa wana waambia.

1. Acheni kuvuta bangi na sigara ninyi mkawa mnawaona mafala mkawa mnavuta tu. Wazazi wenu walikuwa wanapatwa na uchungu sana.

Ule uchungu wa wazazi wenu umekuja kuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu wa 90 mwishoni na 2000s.

BORA HATA WANGEVUTA BANGI KAMA NYIE. WAO WANAVUTA COCAINE.

2. Wazazi wenu walikuwa wana waambia jamani acheni kusikiliza " Rap" ni muziki wa wahuni. Nyie mkawa mnaimba hadi kuimba. Wazazi wenu hawakupendezwa.

Now watoto wenu wanasikiliza amapiano na singeli nyimbo zinazo promote ushoga utumiaji wa dawa za kulevya ufuska na.mmomonyoko wa maadili kwa ujumla.

3. Wanawake mlikuwa mnaambiwa msivae suruali wala nguo fupi ila mkawa wakaidi. Mkawa mnaambiwa jitunzeni muolewe mkiwa mabikira nyinyi mkawa wakaidi. Wazazi wenu waliumia sana. Yale machozi yao yamekuwa reflected kwenye maisha ya watoto wenu.

Binti zenu wanaanza kuingiliwa kinyume wakiwa darasa la tano. Wanaanza kusagana wakiwa na miaka 12..Na watoto wenu wa kiume wanaingiliwa kinyume na maumbile ili muuone vizuri uchungu walio kuwa wanaupata wazazi wenu.

4. Wanaume mlikuwa mnaambiwa acheni kutembea na watoto wa watu ( wanafunzi) mna waharibia masomo mnawapa mimba ( Tena kipindi hicho hakunaga hata sheria ya maana dhidi ya watu wanao tembea na wanafunzi. Sheria ya maana imekuwa enacted mwaka 1998 /SOSPA)

Ila nyie mkawa wakaidi mkawa mna wajaza tu mimba watoto wa watu.

Malipo yake sasa ( MLIFIKIRI NI WATOTO WENU WA KIKE NDO WATAKUWA WANAZALISHWA KAMA MLIVYO KUWA MNAWAZALISHA WATOTO WA WATU..
.HE'LL NO! KARMA HUWAGA HAIPO HIVYO. KARMA HUWAGA INAKUJA MARA TATU)

Badala ya watoto wenu wa kike kuzalishwa ovyo, watoto wenu wa kiume.ndio wanageuzwa na kufanywa kuwa wanawake ili muumie vizuri kama.walivyo umia wazazi wa watoto mliokuwa mna waharibu.

SULUHISHO:
Ifanyike ibada ya kitaifa nchi nzima kwa vijana mliozaliwa miaka ya 80na 70 kuwoamba radhi wazazi wenu ( wawe hai wasiwe hai ) kwa makosa mliyo wafanyia mlipokuwa vijana ili kukinusuru kizazi chenu cha miaka.ya elfu mbili.

Au fanya zoezi hilo wewe kama wewe. Fanya ibada au tambiko maalumu kwa ajili hiyo.

Inaweza kuleta matokeo chanya...

2. Kubali matokeo na jifunze namna ya kuishi nayo.

3. Pombe au

4. Rudi kupiga ganja ulizo kuwa unapiga kipindi hicho baba ako na mama ako wana kukataza. Ganja zita ifanya mind yako iwe ina escape the problem through imagination.

NA KWA NYINYI VIJANA MLIO ZALIWA MIAKA YA ELFU 2...

Karma yenu itakuwa ni kwa watoto wenu pia. Wao watakuwa wanauana sana kwa risasi mapanga visu etc. Watakuwa too much violent. Violence itatawala. ( mtatamani bora wawe mashoga na.wasagaji tu kama.nyinyi ila wasiwe violent but haitakuwa hivyo)

Watakuwa wanauana hata kwa very petty issues .

Kutakuwa na magenge ya uhalifu ambayo wengi wao watakuwa ni members.( thw whole society will.be gang infected and a lot of kids shall be crackheads)

Wengi wao watakuwa devil worshipers.

SULUHISHO KWAKO WEWE KIJANA WA MIAKA YA 2000 NA JIRANI ZENU WA 99.

1. Acha ushoga. Ukiacha ushoga,Karma haitakuhusu
"No research no right to speak."
Mao Zedong
 
Back
Top Bottom