Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
Hongera sana, niliitaman sana 12pro max lkn mimi sio mpenzi wa sim kubwa nikaaishia 12pro , naenjoy balaaa usiku sina haja ya flash sahv ni kutake maphoto tu kwa wingi
Vat ni asilimia 18, chukua thamani zidisha kwa 1.18,Mkwawa, kwa uzoefu wako. Sim yenye dhamani ya dola mia sita ikifika hapa ndugu zetu wa TRA wanalima kama shilingi ngapi ivi?
Vat ni asilimia 18, chukua thamani zidisha kwa 1.18,
Umecheck review ya gsmarena? Battery lake ni baya kweli. Iphone 12 ni much better.Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customized
Vat ni asilimia 18, chukua thamani zidisha kwa 1.18,
Hongera sana, niliitaman sana 12pro max lkn mimi sio mpenzi wa sim kubwa nikaaishia 12pro , naenjoy balaaa usiku sina haja ya flash sahv ni kutake maphoto tu kwa wingi
Kwa uzoefu wangu sijawahi zaidi ya hapo, chaji za ziada ni kama ya posta ambayo ni ndogo sana max 5900.Kwaio hamna zaidi ya hio. Zile miscellaneous costs
Hii si ipo bandarini? Sijawahi kuchajiwa hii hela kwa vitu vya posta.Umesahau import duty,
Kwa uzoefu wangu sijawahi zaidi ya hapo, chaji za ziada ni kama ya posta ambayo ni ndogo sana max 5900.
Na hio kodi inategemea wameamka vipi kuna siku unapewa tu mzigo wako
12 pro ni kubwa mkuu karibu ilingane na 11 pro max. Hangera sana.
Sijajua formula kusema kweli, ila siku unaitwa tu unaambiwa njoo na 2000 ya posta, unachukua mzigo. Nafikiri packaging pia hichangia.Kwa wale tunaotaka mzigo chap chap ndo tunabamizwa si ndio?
Thanks for the tip, mkuu ngoja nicheck bei ya 12 if I can afford it bila kuwaza sana basi itabidi ni opt kwa hiyo, maana ninataka simu ambayo nikinunua nitamaliza miaka 2-3 sijanunua simu nyingine unless ipotee au waibeUmecheck review ya gsmarena? Battery lake ni baya kweli. Iphone 12 ni much better.
Kuhusu ukubwa iphone 7 ipo kati ya 12 mini na 12. Hivyo ukinunua 12 mini itakuwa ndogo kushinda iphone 7 na 12 itakuwa kubwa kidogo.
Thanks for the tip, mkuu ngoja nicheck bei ya 12 if I can afford it bila kuwaza sana basi itabidi ni opt kwa hiyo, maana ninataka simu ambayo nikinunua nitamaliza miaka 2-3 sijanunua simu nyingine unless ipotee au waibe

Hii ela kwa sasa nikiitoa nitatoa huku naumia. Ngoja niachane nayo mpaka baada ya January watoto wakishaenda shule 😅 😅 😅View attachment 1637578
Mkuu si unaona price hazitofautiani sana.