Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Sijajua formula kusema kweli, ila siku unaitwa tu unaambiwa njoo na 2000 ya posta, unachukua mzigo. Nafikiri packaging pia hichangia.
Hii mzee haijakaa swa mara ulipishwe 5900 mara dollar moja (thaman kwa siku husika). Na mpka leo sio meneja wala mtumishi yeyote wa posta utamuuliza kuhusu hii akakujib jibu sahihi ni pesa ya nn na sometimes free kabisa ila tutafika tu kibingwa
 
pengine nna nyota sijawahi kutoa hela posta
 
Usikute mtu ana refurb za wale wasomali wa discount wanaziuza 350000 mpaka 450000
 
Back
Top Bottom