Mkuu ngoja tu niende na 12 mini kwanzaNi kweli hata 12 sio kubwa kiivyo nimeiona na haiachani mbali na mini kwa Price.
Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.
Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Bei zao za kuship ni shida juzi tu nimeship kimzigo kina gram kama 400 kwenda U.K lakini nimekilipia 135,000Chief hawa FedEx na Aramex wapo Dodoma kweli, nataka nijaribu kuwatumia na mimi.
Aramex zipo ocean road karibu na hospital ya cancer jengo la palm residence...jengo moja na ofisi za A to Z supermarket au Bforward cars ImporterMkuu aramex na Fedex kwa dar wapo wapi?
Aramex zipo ocean road karibu na hospital ya cancer jengo la palm residence...jengo moja na ofisi za A to Z supermarket au Bforward cars Importer
Sina uhakika Ofisi za fedex kwa sasa ila aramex wapo pembeni ya ocean Road mjini.Mkuu aramex na Fedex kwa dar wapo wapi?
Wana service inaitwa ship and shop $15 kwa kitu cha chini ya nusu kilo.Bei zao za kuship ni shida juzi tu nimeship kimzigo kina gram kama 400 kwenda U.K lakini nimekilipia 135,000
Kumbe basi hiyo sikuijua aisee hapo ni chip sanaWana service inaitwa ship and shop $15 kwa kitu cha chini ya nusu kilo.
Shukrani mkuu, ila nahitaji ofisi au sehemu wanapotoa elimu ya manunuzi mtandaoni, maana Kuna vitu vingi nataka kuagiza ila nashindwa process zakeSina uhakika Ofisi za fedex kwa sasa ila aramex wapo pembeni ya ocean Road mjini.
Nenda hapo hapo ila onana na meneja wa ship and shopShukrani mkuu, ila nahitaji ofisi au sehemu wanapotoa elimu ya manunuzi mtandaoni, maana Kuna vitu vingi nataka kuagiza ila nashindwa process zake
thanksNenda hapo hapo ila onana na meneja wa ship and shop
Ka picha mkuu, nakupongeza sana nami naitamani mnoWakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!
Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!
Display is much better than expected!!
Let's enjoy the world
Cheers!!![]()
Nitafurahi ukinisaidia kuipata kwa bei mpoozo kidogo huko ulikoNasaidia wengine wanunue.
Mwl.RCTShukrani mkuu, ila nahitaji ofisi au sehemu wanapotoa elimu ya manunuzi mtandaoni, maana Kuna vitu vingi nataka kuagiza ila nashindwa process zake
Amazon hawatumi bongo mara nyingiTumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.
Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Nenda hapo hapo ila onana na meneja wa ship and shop
Wanatuma siku nyingi tu, sema wanatumia dhl na premium shipping nyengine, kitu cha 50,000 gharama ya usafiri inaweza kuwa 200,000.Amazon hawatumi bongo mara nyingi