Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Mkuu kwa 500k unanishauri ninunue simu gani?
Mkuu Usa hakuna Midrange za maana Nyingi, unapata Motorola na samsung kwa wingi kule. Chukua redmi note 9s kenya Hapo, kwa hio budget unapata mpaka ile version ya 128GB na 6gb ram.
 
Mkuu kama Una mawasiliano nao ya Jamaa wa Kenya naomba
 
kama una mtu unamfahamu akununulie, avechi walikuwa wanatuma, ila wadau naona wanasema haziji. jaribu kuwasiliana nao avechi,

ila kwenye faqs zao bado wanaonesha wanaship Tanzania
 
mkuu nahitaji sumsung galaxy m30 nmeona ina betri kubwa,naomba ushauri na bei zake kwa kuagiza na hata hapo Dar
 
Hongera mzee baba.

Mambo ya tech raha sana ukikimbizana nayo.
 
mkuu nahitaji sumsung galaxy m30 nmeona ina betri kubwa,naomba ushauri na bei zake kwa kuagiza na hata hapo Dar
kama priority ni battery subiria Galaxy A02 inakuja muda si mrefu, battery kubwa na bei chini ya laki 3.

m30 around laki 6 huko nje na imeshaanza kupitwa na wakati.
 
kama una mtu unamfahamu akununulie, avechi walikuwa wanatuma, ila wadau naona wanasema haziji. jaribu kuwasiliana nao avechi,

ila kwenye faqs zao bado wanaonesha wanaship Tanzania

Asante mkuu
 
Mkuu umeagiza nje? Umeipata kwa bei gani maana mimi jana nimecheck iphone 12 mini kwa hapa Tanzania ikaja 1.7 mil nikaghair
1.7milioni ?,kwaajili ya simu?.Sawa mkuu,ngoja nikomae na Tecno WX3 yangu.
 
Wana service inaitwa ship and shop $15 kwa kitu cha chini ya nusu kilo.
hii inakuwaje chief?nawezanikashop amazon nikaship kwao kwa bei Hiyo?

nilitaka lipstick amazon shipping cost ikaja 93$
 
Tumia fedex au aramex mkuuu au hawana hizo option? Naona eBay wana shiping options nzuri
naona wanatumia DHL sijaona option nyingine.

eBay sijapata Brand products nnazotaka.
 
hii inakuwaje chief?nawezanikashop amazon nikaship kwao kwa bei Hiyo?

nilitaka lipstick amazon shipping cost ikaja 93$
Yap, na ili kupunguza gharama unaweza ship vitu vingi vyepesi kwa wakati mmoja, mfano hio lipstick ni gram 100 unaweza agizishia piece 3 zote zikafika kwa gharama ile ile,

Kama huna amazon prime unaweza pia kumuagizishia Mwl rct anaweza yeye akamix vitu tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom