Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Yap, na ili kupunguza gharama unaweza ship vitu vingi vyepesi kwa wakati mmoja, mfano hio lipstick ni gram 100 unaweza agizishia piece 3 zote zikafika kwa gharama ile ile,

Kama huna amazon prime unaweza pia kumuagizishia Mwl rct anaweza yeye akamix vitu tofauti tofauti.
ookay thank you

nitawatafuta.
 
Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.

Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se

Mkwawa, kwa uzoefu wako. Sim yenye dhamani ya dola mia sita ikifika hapa ndugu zetu wa TRA wanalima kama shilingi ngapi ivi?
 
Hata mimi nimereliaze hilo ama nichukue mini ama niache kabisa tu nakubaliana na wewe otherwise kuchukua SE ni sawa na kujiibia mwenyewe

Labda swala l msingi tuanze na sasa unatumia sim gani?? Yaani kuliko uchukue SE bora uchukue hata iPhone 8 personal SE niliitumia siku nne tu i got tired of it. Hio ni iPhone 8 iliochangamka tuu.
 
Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customized
 
Hizi za bongo unaweza kupigwa usipo enda kwenye maduka yao kabisa yaani Apple shop kwenyewe

Mkuu umuhimu ni kujua unachonunua basi. Hata nyanya kama huzijui unapigwa sembuse simu ya milioni tatu? Watanzania wengi tuna muEmko na kuogopa kuuliza (kuonekana hatujui) Mtu amenunua sim yake huko “Car Rear Coo” baada ya siku tatu anakuja anakuambia mbona hawezi download apps? Ukiwasha iphone yake inaandika Android is Started

IMG_2622.jpg

Ukikutana na mtu anaringishia hii kama iphone 12 wewe unamwambia nini sasa zaidi ya kumwambia Hongera sana????
 
Personally simu ya mwisho kutumia ilikuwa iPhone 7, then nikarudi samsung kwasababu flani flani, I think nitaenda kwa iPhone 12 mini japo battry lake linanipa mashaka ila nimesoma review inaelekea siyo mbaya simu iko well customized

Yes ukubwa wa battery haimaanishi utunzaji wa chaji. Battery optimization na operating system ndo jambo la msingi. Kwenye hili iphone wako vizuri hasa ukizingatia ABionic Chip zao zinawabeba sana. Vipi sim kama X/XS au 11Pro au bado ni kubwa kwako? Mini nahisi ni kadogo sana hasa kwa mtu kama mimi wa Gamings na Media streaming. Ila kama wewe unaona inafaaa best of luck. Ila nashauri kabla hujanunua tafuta mtu mwenye nayo ukaishike kwanza uone physically
 
Nilitamani kumuuliza nikaghairi.

Mkuu watu hawafanani kwanzia vipato mpaka maarifa. Kuna ambae kupata mlo wa mchana mpaka aingie barabarani morocco pale foleni mataa aombe chochote kitu ndo apate na kuna mwingine siku akiwa hayuko vizuri kabisa kiuchumi anakula 35000 lunch.
Kwa io kama wewe ili umiliki bidhaa kama hio inakulazimu uchanwe uti wa mgongo, mwenzako pengine sio lazima.
Nawasilisha
 
Yes ukubwa wa battery haimaanishi utunzaji wa chaji. Battery optimization na operating system ndo jambo la msingi. Kwenye hili iphone wako vizuri hasa ukizingatia ABionic Chip zao zinawabeba sana. Vipi sim kama X/XS au 11Pro au bado ni kubwa kwako? Mini nahisi ni kadogo sana hasa kwa mtu kama mimi wa Gamings na Media streaming. Ila kama wewe unaona inafaaa best of luck. Ila nashauri kabla hujanunua tafuta mtu mwenye nayo ukaishike kwanza uone physically
Naitaka 12 mini kwasababu imetoka latest, halafu ni ndogo. Mimi sifanyagi vitu vikubwa kwenye simu... Hata muda wa kuchez game sina sana mkuu, yani matumizi yangu ya simu kwasasa yako limited sana tofauti na zamani. Mambo makubwa yote nafeel comfortable kuyafanyia kwenye computer
 
Then go ahead mkuu
 
Mkuu umuhimu ni kujua unachonunua basi. Hata nyanya kama huzijui unapigwa sembuse simu ya milioni tatu? Watanzania wengi tuna muEmko na kuogopa kuuliza (kuonekana hatujui) Mtu amenunua sim yake huko “Car Rear Coo” baada ya siku tatu anakuja anakuambia mbona hawezi download apps? Ukiwasha iphone yake inaandika Android is Started

View attachment 1637328
Ukikutana na mtu anaringishia hii kama iphone 12 wewe unamwambia nini sasa zaidi ya kumwambia Hongera sana????

japo kuchangiana ni njia nzuri ya kugawana umasikini na watanzania wenzetu,lakini sishauri mtu na laki 7 na kuendelea arisk pesa yote hiyo kkoo.wauzaji wa kkoo wengi wao sio waaminifu.

kkoo kuna simu zake mpya infinix,tecno,venus,itel nk hizi huwezi kuta zina dosari maana zinakuja mpya pyeeeee.

kisanga ni huko premium,mtu anakwambia samsung s7 full box,ukinunua mara inachemka,mara inazima ikifika 40% mara inatoa muungurumo ukiongea na mtu nk.shida sio hiyo,shida ni muuzaji anapokupiga laki 5 yako bila kukuangalia usoni huku akijua kabisa simu aliyokupa ni kimeo.
 
Naitaka 12 mini kwasababu imetoka latest, halafu ni ndogo. Mimi sifanyagi vitu vikubwa kwenye simu... Hata muda wa kuchez game sina sana mkuu, yani matumizi yangu ya simu kwasasa yako limited sana tofauti na zamani. Mambo makubwa yote nafeel comfortable kuyafanyia kwenye computer

kidogo sana,si uchukue hata 12 sio kubwa pia na hazipishani pakibwa pa kutisha.
 
japo kuchangiana ni njia nzuri ya kugawana umasikini na watanzania wenzetu,lakini sishauri mtu na laki 7 na kuendelea arisk pesa yote hiyo kkoo.wauzaji wa kkoo wengi wao sio waaminifu.

kkoo kuna simu zake mpya infinix,tecno,venus,itel nk hizi huwezi kuta zina dosari maana zinakuja mpya pyeeeee.

kisanga ni huko premium,mtu anakwambia samsung s7 full box,ukinunua mara inachemka,mara inazima ikifika 40% mara inatoa muungurumo ukiongea na mtu nk.shida sio hiyo,shida ni muuzaji anapokupiga laki 5 yako bila kukuangalia usoni huku akijua kabisa simu aliyokupa ni kimeo.

Turudi pia kwenu wateja wanunuzi. Sim unajua inauzwa laki saba wewe bila aibu wala mshipa wa fedheha unasema una 350,000/- sasa utapewa sim ile ile ila sasa yenye dhamani ya 350,000/-
 
tatizo hamna hiyo ya laki 7.

ngoja nikupe mfano,kuna siku nimeenda kubadiri betry la samsung kwa fundi,nikamfata fundi kumuuliza akajibu lipo la 19k,25k,40k.
nikauliza tofauti nikajibiwa muonekano na ubora.

nikamwambia niwekee la 40k ila likisumbua sitakuelewa,akajibu ah boss kama unaona huniamini basi ni bora uweke hilo la 25 maana nalo ni zuri tu,nikamwambia kaniletee yote matatu nione yanafananaje,naona alizunguka siku hiyo mpaka akachoka,akarudi na mawili tu.la 40 alilosema hana.

kwahiyo mkuu hiyo haimaanishi ukitoa 700k utapewa bidhaa husika,sana sana utaongezewa charger na earphones za kukuzugia ila mzigo ni ule ule wa laki 3.5.
 
Hii michezo ipo sana kariakoo. Kiufupi kuuziwa iPhone fake si rahisi kupewa kama umetumia iPhone ila ni rahisi kuuziwa simu mbovu au iliyoishiwa viwango.

Unakuta unauziwa 8 plus mpya lkn haina touch ID au battery ilishabadilishwa na imekufa Water proof
 
Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!

Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!

Display is much better than expected!!

Let's enjoy the world

Cheers!!
Picha je?
 
Back
Top Bottom