Finally nimepata Iphone 12 pro max!

Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!

Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!

Display is much better than expected!!

Let's enjoy the world

Cheers!!
Mkuu umeagiza nje? Umeipata kwa bei gani maana mimi jana nimecheck iphone 12 mini kwa hapa Tanzania ikaja 1.7 mil nikaghair
 
Camera yake inaonekana ni premium haswaaa.
Screenshot_20201127-161553.png

Japi sijavutiwa na muonekano wa hapo juu
Screenshot_20201127-161641.png

Hongera kwa kumiliki chombo hicho
 
Mimi sipendi simu kubwa sana mkuu napenda simu yenye ukubwa kiasi. maana niliona mini ilikuwa 399$ nikahisi labda kwa TZ haitazi 1.4 mil lakini nimechek jamaa flani wanauza vifaa vya apple nikaambiwa 1.72 ml nikaghair

Kuna wanaouza hadi 2M hapo bongo. Umejaribu kucheki EBay?
 
Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.

Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Basi I guess nilichanganya yah its SE mkuu nikaichanganya na min 12 ndiyo maana jamaa aliponitajia bei nikastaajabu lakini still nimeangalia mini ebay inazid hiyo bei aliyonitajia. Ngoja niangalie SE amazon
 
Mkuu kwa ushauri wangu chukua Mini kuliko SE
 
Tumia Amazon ama site za Uhakika za Usa zenye warranty, then tumia forwarding service yenye ofisi Tanzania ambao hata mzigo ukipotea wana refund, inaweza kuwa service za Aramex ama Fedex.

Na sidhani kama 12 mini unaipata kwa $399 unless unamaanisha Se
Chief hawa FedEx na Aramex wapo Dodoma kweli, nataka nijaribu kuwatumia na mimi.
 
Hata mimi nimereliaze hilo ama nichukue mini ama niache kabisa tu nakubaliana na wewe otherwise kuchukua SE ni sawa na kujiibia mwenyewe

Ni kweli hata 12 sio kubwa kiivyo nimeiona na haiachani mbali na mini kwa Price.
 
Back
Top Bottom